Je, ujenzi wa Maghorofa Kariakoo unazingatia viwango au ni Siasa za rushwa?

Madumbikaya

JF-Expert Member
Jun 6, 2018
638
1,902
Mamlaka ya ardhi ijitathimini na ichukue hatua kabla maafa hayajatokea mitaa ya kariakoo kwa maghorofa kuporomoka ghafla kama ilivyokuwa pale posta mtaa wa Indira ghandi kwa kukagua na kusimamia ubora wa majengo

Leo naangazia mtaa mmoja tu wa kariakoo

Livingstone street Kariakoo,

Huu ni moja ya mitaa mirefu zaidi kariakoo na maarufu sana kwa biashara za spare za magari na matairi ya magari

Ni mtaa unaoanzia maeneo ya Fire au Makutano ya msimbazi na Morogoro road

Livingstone street kariakoo ni mtaa ambao kwa sasa nyumba nyingi za kizamani zinabomolewa na kujengwa maghorofa ya makazi na biashara baada ya wenyeji kuamua kuuza nyumba zao za chini na za kizamani

Maghorofa mengi mtaa huu yanajengwa usiku na hayafuati sheria zozote za usalama kwa majirani na wapita njia kwa miguu au magari

Mbao zinaning'inia na misumari inagongwa bila jengo kuwekewa uzio kwa ajili ya kuzuia vipande vya tofali, mbao na misumari kuwadondokea raia wanaopita kwa miguu

Maghorofa yanajengwa ndani ya miezi mitano na kukamilika huku yakiwa na floor zaidi ya saba. Je, slub inamwagiliwa maji muda gani? Na vipi uimara wa jengo lenyewe?

Haya majengo ground floor ni kwa ajili ya biashara na top floor ni kwa ajili ya makazi

Ghorofa namba moja lenye mashaka lipo makutano ya mtaa wa livingstone street na Amani street. Eneo hili watu wanapita kwa roho ngumu tu.

Ghorofa limejengwa kwa kasi na mabati na mbao zimeegeshwa tu juu muda wowote mbao na bati zinaweza kuwadondokea raia

Limebandikwa ubao wa ujenzi lakini mafundi wanaotumika sio engineers ni watu local ambao hawajavaa kifaa chochote cha usalama wao wenyewe na maisha yao, Wajenzi hawajijali wao. Je, watawajali raia ambao wanapita chini ya majengo hayo

Ni vyema mamlaka wakapita mtaa huu wa livingstone na kujionea uhalisia wa mambo kwani ujenzi unafanyika usiku na mchana ni kimya

Na je slub na kingo za haya maghrofa ni imara kwa kujenga haraka ndani ya miezi mitatu au mitano
 
Ujenzi umerahisishwa sana siku hizi, watu wanajenga kisasa zaidi na serikali pia ipo macho sana na ndio maana hakuna athari yeyote mpaka sasa. Viwango vinatimia sema tu labda kubananisha jengo na jengo na pia kuweka maduka mpaka njiani ndio shida.
 
Kwa
Mamlaka ya ardhi ijitathimini na ichukue hatua kabla maafa hayajatokea mitaa ya kariakoo kwa maghorofa kuporomoka ghafla kama ilivyokuwa pale posta mtaa wa Indira ghandi kwa kukagua na kusimamia ubora wa majengo

Leo naangazia mtaa mmoja tu wa kariakoo

Livingstone street Kariakoo,

Huu ni moja ya mitaa mirefu zaidi kariakoo na maarufu sana kwa biashara za spare za magari na matairi ya magari

Ni mtaa unaoanzia maeneo ya Fire au Makutano ya msimbazi na Morogoro road

Livingstone street kariakoo ni mtaa ambao kwa sasa nyumba nyingi za kizamani zinabomolewa na kujengwa maghorofa ya makazi na biashara baada ya wenyeji kuamua kuuza nyumba zao za chini na za kizamani

Maghorofa mengi mtaa huu yanajengwa usiku na hayafuati sheria zozote za usalama kwa majirani na wapita njia kwa miguu au magari

Mbao zinaning'inia na misumari inagongwa bila jengo kuwekewa uzio kwa ajili ya kuzuia vipande vya tofali, mbao na misumari kuwadondokea raia wanaopita kwa miguu

Maghorofa yanajengwa ndani ya miezi mitano na kukamilika huku yakiwa na floor zaidi ya saba. Je, slub inamwagiliwa maji muda gani? Na vipi uimara wa jengo lenyewe?

Haya majengo ground floor ni kwa ajili ya biashara na top floor ni kwa ajili ya makazi

Ghorofa namba moja lenye mashaka lipo makutano ya mtaa wa livingstone street na Amani street. Eneo hili watu wanapita kwa roho ngumu tu.

Ghorofa limejengwa kwa kasi na mabati na mbao zimeegeshwa tu juu muda wowote mbao na bati zinaweza kuwadondokea raia

Limebandikwa ubao wa ujenzi lakini mafundi wanaotumika sio engineers ni watu local ambao hawajavaa kifaa chochote cha usalama wao wenyewe na maisha yao, Wajenzi hawajijali wao. Je, watawajali raia ambao wanapita chini ya majengo hayo

Ni vyema mamlaka wakapita mtaa huu wa livingstone na kujionea uhalisia wa mambo kwani ujenzi unafanyika usiku na mchana ni kimya

Na je slub na kingo za haya maghrofa ni imara kwa kujenga haraka ndani ya miezi mitatu au mitano

Ni kama upo coco Beach unauliza baharini wapi?
 
Kwanza huo mtaa hata haupitiki na gari ni kama uchochoro kuanzia msimbazi wakati zamani ulikuw a mtaa mkubwa ukowazi na unaweza kupaki gari pembeni.

Nilisema sitapita tena huko ni fujo tupu na magari yanashusha mizigo katikati yanafunga njia.
 
Kwa sasa ndio ujenzi usiozingatia usalama unaendelea
 
Mamlaka ya ardhi ijitathimini na ichukue hatua kabla maafa hayajatokea mitaa ya kariakoo kwa maghorofa kuporomoka ghafla kama ilivyokuwa pale posta mtaa wa Indira ghandi kwa kukagua na kusimamia ubora wa majengo

Leo naangazia mtaa mmoja tu wa kariakoo

Livingstone street Kariakoo,

Huu ni moja ya mitaa mirefu zaidi kariakoo na maarufu sana kwa biashara za spare za magari na matairi ya magari

Ni mtaa unaoanzia maeneo ya Fire au Makutano ya msimbazi na Morogoro road

Livingstone street kariakoo ni mtaa ambao kwa sasa nyumba nyingi za kizamani zinabomolewa na kujengwa maghorofa ya makazi na biashara baada ya wenyeji kuamua kuuza nyumba zao za chini na za kizamani

Maghorofa mengi mtaa huu yanajengwa usiku na hayafuati sheria zozote za usalama kwa majirani na wapita njia kwa miguu au magari

Mbao zinaning'inia na misumari inagongwa bila jengo kuwekewa uzio kwa ajili ya kuzuia vipande vya tofali, mbao na misumari kuwadondokea raia wanaopita kwa miguu

Maghorofa yanajengwa ndani ya miezi mitano na kukamilika huku yakiwa na floor zaidi ya saba. Je, slub inamwagiliwa maji muda gani? Na vipi uimara wa jengo lenyewe?

Haya majengo ground floor ni kwa ajili ya biashara na top floor ni kwa ajili ya makazi

Ghorofa namba moja lenye mashaka lipo makutano ya mtaa wa livingstone street na Amani street. Eneo hili watu wanapita kwa roho ngumu tu.

Ghorofa limejengwa kwa kasi na mabati na mbao zimeegeshwa tu juu muda wowote mbao na bati zinaweza kuwadondokea raia

Limebandikwa ubao wa ujenzi lakini mafundi wanaotumika sio engineers ni watu local ambao hawajavaa kifaa chochote cha usalama wao wenyewe na maisha yao, Wajenzi hawajijali wao. Je, watawajali raia ambao wanapita chini ya majengo hayo

Ni vyema mamlaka wakapita mtaa huu wa livingstone na kujionea uhalisia wa mambo kwani ujenzi unafanyika usiku na mchana ni kimya

Na je slub na kingo za haya maghrofa ni imara kwa kujenga haraka ndani ya miezi mitatu au mitano
Tafuta hela acha chuki za wenyenazo usijifanye mjuaji kwani huwezi fikiria serikali nzima haijui kuhusu hilo swala na kwamba hwakagui ujenzi? Watu wa mburahati hamuishiwi maneno mkija Kariakoo,
 
Michoro inaonesha underground ni maegesho ya gari. Uhalisia kunajengwa vizimba vingi vya kukudisha. Tuombe sana kusitokee matukio ya moto.
 
Imagine angekuwepo mkoloni UK, kariakoo Pange hivi leo kama jalalani, Nairobi, Johannesburg, Capetown, wanajivunia coz mkoloni UK, Dutch walijenga kisasa.

Turudi kwetu bongo sehemu ambazo UK aliziacha ndio hizohizo tuna tamba nazo mpaka Leo, na tumeanza kuziharibu tayar kila seheme duka bodaboda,

Sehemu kama kigamboni bweni,madale ni nyumba Tu nzuri zimejengwa Ila miundo mbinu hakuna.

Afrika 👆 kujitawala bado sana
 
Back
Top Bottom