Mie Nasema Na Alie tu Maana tumeshachoka nae Na hakuna Namna Nyingine Ya Kumsaidia
Mbunge wa Kahama Mjini (ccm) na
Mwenyekiti wa kamati ya bunge maliasili
na utalii James Lembeli Amehamia
Chadema
Wananchi hawafahamu kama kulikuwa na maridhiano,Aliye leta hii mada ni muongo. Jina la pinda halikukatwa. Liliondolewa kwenye mchakato baada ya maridhiano.
Hawezi kulalamika kwa sababu hakuondolewa kwa vigezo bali kwa maridhiano kutokana na mazingira halusi.
wanaoulewa mgawanyiko na kifo cha ccm hawawezi kuongea hata na media za ngazi ya kaya wakatin wanaosema 'chama imara' wana uwezo wa kuitisha press conference na kuwagawia waandishi bahasha za kakiUmoja wa ccm ni wa wale wajumbe tu ,,wananchi huko bado kuna makundi..IMEFARIKI CCM
SASA hivi pale Ikulu ambapo Pinda ,jk NA Bilal wako jengo Moja mawasiliano SIO mazuri ....wanaona anewadharau kwa kushjndwa kuwaamini au kuwaambia wasigombee Huku kijana mwenye Miaka isiyojaa mkono serikalini ,,,January Akipeta
Juzi wakati Rais anasafiri wote walikuwapo LAKINI HAWAKUMSINDIKIZA AIRPORT KADIRI YA PROTOCALS .... aliagwa NA MKUU wa MKOA NA MKUU wa Majeshi NA Maafisa wengine ...NA watu wachache wa Chama ambao walikuwa airport kumsubiri MAGUFULI