Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,420
- 4,032
hayo kasema wapi? kila mtu anaweza kuyasema hayo uliyoyaandika na kuwataka watu wayaamini.
Habari hizi za uhakika kweli???
Mie Nasema Na Alie tu Maana tumeshachoka nae Na hakuna Namna Nyingine Ya Kumsaidia
Aliye leta hii mada ni muongo. Jina la pinda halikukatwa. Liliondolewa kwenye mchakato baada ya maridhiano.
Hawezi kulalamika kwa sababu hakuondolewa kwa vigezo bali kwa maridhiano kutokana na mazingira halusi.
Mbona waliokatwa ni wengi?..mBona hawasemi?..naamini kwa vyovyote vile lazima angepatikana mmoja tu kupeperusha bendera ya CCM...ni vyema kukubali matokeo na kusonga mbele.
Kajidhalilisha sana Mh Jakaya. Kashindwa kutetea utawala wake na chama. inatosha kusema'wamechoka'
Habari za uhakika nilizofikishiwa ni kwamba, waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akubaliani na yaliyotoka Dodoma katika harakati zilizofanywa kumpata mgombea urais wa CCM.
Pinda amedai kutokuridhishwa kwake na jina lake kaondolewa na kamati ya maadili huku watu aliokuwa akiwaongoza na kuwatetea kila kukicha bungeni wakipenya kwa kile alichokiita kuwa kwa utaratibu 'mbovu'
Pinda akionekana akilia kwa uchungu wakati ambapo John Magufuli alikuwa akitangazwa kama mgombea urais wa CCM mwaka 2015.
Aidha Pinda amedai kusikitishwa na jinsi ambavyo January Makamba alivyobebwa na mbeleko ya Kikwete kuingia tano bora huku akiwa na muda mfupi sana katika siasa.
Tutasikia mengi ila fukuto lililopo ndani ya CCM ni zaidi ya ujuavyo.

Pinda asilalamike, ule msemo aliouasisi wa "Wapigwe tu" umemgeukia. Amepigwa tu na kamati ya maadili. Sasa analalamika nini?Habari za uhakika nilizofikishiwa ni kwamba, waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akubaliani na yaliyotoka Dodoma katika harakati zilizofanywa kumpata mgombea urais wa CCM.
Pinda amedai kutokuridhishwa kwake na jina lake kaondolewa na kamati ya maadili huku watu aliokuwa akiwaongoza na kuwatetea kila kukicha bungeni wakipenya kwa kile alichokiita kuwa kwa utaratibu 'mbovu'
Pinda akionekana akilia kwa uchungu wakati ambapo John Magufuli alikuwa akitangazwa kama mgombea urais wa CCM mwaka 2015.
Aidha Pinda amedai kusikitishwa na jinsi ambavyo January Makamba alivyobebwa na mbeleko ya Kikwete kuingia tano bora huku akiwa na muda mfupi sana katika siasa.
Tutasikia mengi ila fukuto lililopo ndani ya CCM ni zaidi ya ujuavyo.
Ulikuwepo!!!!!Aliye leta hii mada ni muongo. Jina la pinda halikukatwa. Liliondolewa kwenye mchakato baada ya maridhiano.
Hawezi kulalamika kwa sababu hakuondolewa kwa vigezo bali kwa maridhiano kutokana na mazingira halusi.
Mbona waliokatwa ni wengi?..mBona hawasemi?..naamini kwa vyovyote vile lazima angepatikana mmoja tu kupeperusha bendera ya CCM...ni vyema kukubali matokeo na kusonga mbele.
Ebu weka picha akiwa analia nifurahi mie