Wapigwe tuuuuu
Habari za uhakika nilizofikishiwa ni kwamba, waziri mkuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mizengo Pinda akubaliani na yaliyotoka Dodoma katika harakati zilizofanywa kumpata mgombea urais wa CCM.
Pinda amedai kutokuridhishwa kwake na jina lake kaondolewa na kamati ya maadili huku watu aliokuwa akiwaongoza na kuwatetea kila kukicha bungeni wakipenya kwa kile alichokiita kuwa kwa utaratibu 'mbovu'
Pinda akionekana akilia kwa uchungu wakati ambapo John Magufuli alikuwa akitangazwa kama mgombea urais wa CCM mwaka 2015.
Aidha Pinda amedai kusikitishwa na jinsi ambavyo January Makamba alivyobebwa na mbeleko ya Kikwete kuingia tano bora huku akiwa na muda mfupi sana katika siasa.
Tutasikia mengi ila fukuto lililopo ndani ya CCM ni zaidi ya ujuavyo.
Habari hizi za uhakika kweli???
Habari hizi za uhakika kweli???
Sema hivi Moi alilazimisha Uhuru agombee kwa tiketi ya New KANU akina Raila wakajitoa na kwenda kumuunga mkono Kibaki na Kibaki kuibuka mshindi.KANU ilipotea kwenye ramani kwa kumbeba Kenyatta ambaye hakuwa chaguo la wengi na Mwai Kibaki akaibukia upinzani na kushinda
Hata mimi nilitamani aweke picha, ila najua hana.Mkuu weka picha mzee akilia tuone