long live my love
JF-Expert Member
- Feb 23, 2014
- 1,083
- 1,037
Pinda ukiendelea na kelele hizi utapigwa tuuuu kwa sababu hamna namna. utapigwa tu!!
Aliokuwa akiwatetea bungeni wamepita maana yake nini, kwamba anakiri walikuwa wabovu? Sasa kwa nini alikuwa anawatetea?huku watu aliokuwa akiwaongoza na kuwatetea kila kukicha bungeni wakipenya
Pinda keshanogewa na power....anashindwa imagine life without power now