KOMBAJR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 5,827
- 1,276
Tuwe wakweli, kwanza Mzee Pinda(our PM) ni binadam kama alivyo yeyote. Katika mazingira ambayo kamati ya Maadili haikumfikisha Kamati Kuu( kama ni kweli) basi lazima alalame akiwa kama human being( hapa kama mtu binafsi)!
Si kweli kabisa kwamba Mzee Pinda hana maadili kuliko anaowaongoza kama Makamba Jr, Magufuli(Dr), Migiro(Dr) et al!
Kama kalalamika hata kama siyo hadharani, nami namuunga mkono! Mtu kama Jaji Ramadhan, Mzee Bilal(V Pres) nae eti kamati ya maadili inatajwa ilimtosa. Labda kamati pia ilishauri na suala la umri, ila kuhusu maadili akili ya kawaida inagoma kuamini kuwa Dr Bilal, Jaji Ramadhan, Mzee Pinda na wengine wanaoheshimika katika jamii wamsshindwa kupenya kwenye kamati ya maadili.
Kwa anaefahamu atutajie wajumbe wa Kamati ya Maadili halafu kila mjumbe alinganishwe na wazee hawa watatu waliokatwa. Mzee Kingunge ameinyooshea kidole kamati kwayo pia kutokuwa na maadili kwa kuvunja kanuni!
Mkuu yote uliyoyaeleza hapo juu ndiyo maswali yaliyomo kwenye vichwa vya watu wengi...... Swali hapa ni kwanini hawakupewa haki yao ya msingi ya kuambiwa mapungufu yao?? na Je kwa staili hiyo unaona kwa jinsi ambavyo chama kimechukulia poa na kwa hakuna makundi ni sawa?