pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,246
- 3,735
​Na mimi nasema alie tu kwa sababu hakuna namna....
Napenda anavyolia tu bwana Mizengwe
Tulishavunja makundi,sasa haya yote yanatoka wapi?
Ha ha ha haaa! Eti Wazili mkuu? Eti Madalakani?uchaguzi ndani ya chama cha mapinduzi umepita uchaguzi huo umeonekana umeonekana kukiyumbusha chama cha mapinduzi, uchaguzi huo ulihusisha wagombea 38 akiwemo wazili mkuu aliepo madalakani, mtoto wa mkulima peter pinda ambae hakuingia hata tano bora pinda alionekana akilia pale alipotangazwa magufuli, je pinda akija ukawa atapokelewa?