Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Taswira Kijana Mapamba hivi kweli wewe ni mwalimu kitaaluma,au ndiyo wale waliopata Ualimu Pasipo Elimu,kwa staili ya aina hii lazima taifa litakuwa linazalisha wanafunzi mbumbumbu mzungu wa reli.
 
Last edited by a moderator:
Wanafunzi wa form IV 90% wamefeli,sisi watanzania badala ya kujadili mambo ya muhimu kama haya
wewe chizi mmoja Mtela unataka tujadili upuuzi wa majina,ulikuwepo hapo kitandani siku mimba ya Dr
inatungwa?nonsense!!!

Waambieni CCM watafute namna nyingine ya kurudisha imani ya watanzania kwao siyo kwa upuuzi huu,
Imani watanzania tuliyoijenga kwa Dr.Slaa haiondolewi na upuuzi wa hivi,mnajichosha bure"
 
haiusiani na mustakari wa taifa, hata kama familia yake ingetoka sayari ya mars.
 
PENDEKEZO NA OMBI kwa MODS: kila Mtanzania ana haki na uhuru wa kujieleza kuhusu lolote lile na JF ni jukwaa mojawapo linalotekeleza kanuni hiyo. Kwa kuzingatia hilo ninaomba hizi mada zinazonukuu kauli za SHONZA na MTELA au zinazokuwa posted moja kwa moja kutoka kwa ndugu hawa wawili kuhusu Dr. Slaa na Bw. Mbowe na viongozi wengine wa CHADEMA zifunguliwe SUB-FORUM maalumu au STICKY TOPIC ili zielekezwe huko automatically ili wale ambao wanapenda kuzisoma na kuzitolea maoni waende huko. Hili litatupa nafasi ya kusoma na kuchangia mada za kimaendeleo na ukombozi wa taifa hili.
 
Uvumilivu umefungwa kwenye mda. Wenye nao huwa na amani.
Tuwape mda hawa jamaa. Chama cha magamba hakinaga historia ya kujibu hoja. Mara nyingi wanatafuta hoja hasi kuondoa wimbi la concentration toka sehemu moja na kuyaelekeza kwingine.
Tuwape mda kwanza wakae kwenye hii hoja kama walivyoanzishaga ya mchumba ake Dokta. Kama alivosema mchangia uzi aliyepita hapo juu. Watapoa tu kama Kina Kabourou na wenzake.
 
Hawa watu hawana huruma! Wamemwanika mzee wa watu kupiga picha kwenye jua jana (19/02/2013) bila ya sababu yeyote!
 
nimepitia hoja za salia moja mwampamba kuhusu na jina la Dr Slaa,hv hz siasa za kibongo zinatusaidia nini kuhusu na majina ya watu ?umekuwa CHADEMA muda wote leo unafukuzwa unakuja na hoja za kitoto,kweli umeishiwa sera.anza na kusafisha kwenye chama chako cha mafisadi.uone kama utaweza kama ambavyo mwenzio nape alivyoshndwa vita hiyo,na ndo itakayo watoa madarakani,
 
Huyu sijui Mapamba sijui Mapambo is a senior Ass..........................le ni jinga la mwisho.Baada ya haya madai inamsaidia nini Mtanzania wa kawaida kumaliza matatizo yake ?
 
Kweli CCM akili zimewaisha kabisa picha imepigwa tarehe 19/02/2013 kutoka Karatu leo 20.02.2013 inawekwa kwa Facebook, hizi ni propaganda duni naomba CHADEMA wamtafute huyo mzee au kama kuna mtu yeyote anayefahamu huyo mzee aliyepo kwenye picha alipo atoe taarifa kwa viongozi wa CHADEMA ili Mtela ashikishwe adabu kwa kutumia picha ya huyo mzee na kumchafua jina lake,
 
hawa watoto JULIANA na MWAMPAMBA wamesoma chuo gani,chenye maadili ya aina hii.NIMEISHI NA WANYAKYUSA FOR A LONG TIME HAWAKO HIVI?? .NI KIZAZI GANI HIKI KULE KWA WANYAKYUSA?
 
vijana wajinga kama hawa bora hata wangepigwa na hayo magaidi ya zanzibar,sasa sie kujua baba halisi wa dr slaa inatusaidia nini?kwahiyo huyo tela anadhani anajikuza kisiasa kwa kueleza upuuzi wake hadhalani.siasa ya aina hii bora kuwa mkulima.
 
Kumjadili huyu mpuu .. kila saa ni sawa na kumpa promo.mpotezeeni kama ni mjing
 
Kwani lazima tuongelee watu? naona JF imekuwa ya nani amesoma wapi? ana degree ngapi? mzazi wako halisi nani? naona tumepotoka turudi kule kwenye hoja za msingi kama ELIMU na matokeo yake, MAJI ya Goba waziri juzi amesema waliyafunga makusudi toka mnyika aliposhinda uchaguzi sasa watayafungua...nilikuwepo kwenye mkutano, KILIMO kwanza imeishia wapi? zile powertila vipi?,
 
Mbona nyie mnamsumbua Mwigulu mkuki kwa nguruwe
 
Nimepitia hoja za salia moja mwampamba kuhusu na jina la Dr. Slaa,hv hz siasa za kibongo zinatusaidia nini kuhusu na majina ya watu?

Umekuwa Chadema muda wote leo unafukuzwa unakuja na hoja za kitoto,kweli umeishiwa sera.anza na kusafisha kwenye chama chako cha mafisadi.uone kama utaweza kama ambavyo mwenzio nape alivyoshndwa vita hiyo,na ndo itakayo watoa madarakani
,

......

Mnaendelea kumpa promo huyu mjinga.
 
Mimi natoka Mbulu, mpakani na karatu mwambie mwamba aje nimpeleke kijijini kwa Mzee Peter Slaa ili ajue ukweli,badala ya kubeba hoja za Nape Nnauye.
 
Tusipoteze muda kujadili kauli za wehu na vichaa, siyo kila mwenye kuropoka ana akili timamu. Mwampamba na Shoza, wana upungufu kichwani tangu waende CCM sijawahi kuwasikia wakiongelea hoja yoyote ya maana. Na hiyo redio, imekosa watu wa kuwahoja mpaka kuwapa nafasi wehu? Tukipoteze muda mwingi kuwajadili wehu na sisi tutaingia kwenye wehu. These people are not worth to be the centre of discussion. Mod please remove this cr.ap, we have many worth issues to discuss.

Pamoja na kuwa mapandikizi, mimi nashindwa kuelewa kwa akili kama hizi walifanikiwaje hata kupata hizo nafasi walizokuwa nazo CDM. This is seriously pathetic .................. hata mtoto mwenye akili wa standard 5 hawezi kufanya haya!! Halafu kesho utamuona yuko na Nape!! Eti onyo kuhusu kuzungumzia familia ya Nape ............... si ataueleze anayoyajua kwa hiyo akili yake fupi!!!
 
Back
Top Bottom