Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 61,365
- 100,406
Hahahahaaa akimaliza kusahihisha majina ya Watu au Viongozi wa CHADEMA atuambie yanasaidia nini kwenye uchumi wa nchi na utekelezaji wa Ilani yao Mfu......
hawa watoto JULIANA na MWAMPAMBA wamesoma chuo gani,chenye maadili ya aina hii.NIMEISHI NA WANYAKYUSA FOR A LONG TIME HAWAKO HIVI?? .NI KIZAZI GANI HIKI KULE KWA WANYAKYUSA?
Mtela Mwampamba
Asubuhi hii nipo live kwenye mahojiano "PASSION FM" muda huu,Moja ya mambo nitakayozungumzia ni Kumtaka katibu mkuu wa Chadema(DR.SLAA) ajitokeze hadharani aseme familia yake ipo wapi,Ubini wake ninani na kwanini anatumia jina la Peter Slaa wakati sio baba yake.
Huyu Mzee pichani ndiye Mzee Peter Slaa ambaye sio baba wa Dr.Slaa.Namuomba Dr.slaa aitafute familia yake na awambie watanzania jina lake halisi na sio hili analotumia sasa la huyu Mzee peter Slaa ambaye sio baba yake na hawana uhusiano.
Huyu masalia ni mtu wa kumpuuza tu.
Hivi huko magambani (CCM) hakuna issues za kuziongelea?! Mbona watanzania kuna mambo mengi (hasa matatizo) zaidi yanayotukabili: kwa sasa tuna hii issue ya zaidi ya 93% ya vijana wetu wamefeli kidato cha nne, huduma mbovu za afya etc. Mimi nilifikiria vijana kama mwamapamba na mwezie shonzi wangekuwa mstaari wa mbele kujadili issues muhimu zinazogusa watanzania na sio kila siku Dr. Slaa. Inavyoonekana wanatumiwa tu kama Condom au toilet paper.