Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Ukisikia tz kuna wajinga ndiyo kama huyo hivi mtu umedamka unakwenda kwenye chombo cha habari alafu unazungumzia maswala ya kujamba na kunya kweli huo mda aliopoteza hapo na hiyo kadi ya matangazo aliharibu sibora angeenda pale jangwni kuna mtaro wa maji machafu pale ausafishe tu
 
Jamani kwa kuweka ushabiki pembeni,hawa vijana wanazidi kushusha hadhi ya CCM!
 
sasa alichopost nini......hizo picha ndo usibitisho hahah hah.......
 
Nimeamua kuvunja ukimya baada ya kuona mufa maji anaendelea kutapatapa naye ni MTELA MWAMPAMPA anaudanganya umma wa watanzania kwa kumuchafua Dr. Slaa .ninamufahamu vizuri huyu kijana aliyekosa mvuto kwao MBOZI kwani tumesoma naye akiwa META sekondary alikuwa hana jipya uongo, dhuluma, uchochezi, nikawaida yake ,huyu jamaa ni mpenda pesa naomba niwaonye watanzania wenzangu wamubeze kama wanambozi wanavyomuelewa ndiomaana ameamua kukaa Dar. kwani ni mbinu za CCM kumutumia naona ccm watafute alternative nyingine kwani huyu jamaa hana mvuto kwa watanzania hadi watoto wanamdharau. kama ataendea niko radhi kufanya mdahalo naye kwani namuelewa vizuri.naomba kuwasilisha!!!!!
 
Huo upuuzi nenda kaujadili na mabwana zako wanaokutuma(CCM)....watanzania hatuhitaji kujua mzazi wa slaa tunachotaka ni kuelezwa utekelezaji w ahadi zenu umefikia wapi
 
Duniani watu wamegawanyika katika makundi matatu:
1. WATU MAKINI (Wenye fikara kubwa)- Hawa huzungumza masuala

2. WATU WA KAWAIDA (Fikara za kawaida)- Hawa huzungumza matukio

3. WATU DUNI (Wenye fikira duni) - Hawa huzungumza watu

Kila mtanzania ajaribu kuangalia kwa sasa yupo kundi gani?

Nimeamua kuvunja ukimya baada ya kuona mufa maji anaendelea kutapatapa naye ni MTELA MWAMPAMPA anaudanganya umma wa watanzania kwa kumuchafua Dr. Slaa .ninamufahamu vizuri huyu kijana aliyekosa mvuto kwao MBOZI kwani tumesoma naye akiwa META sekondary alikuwa hana jipya uongo, dhuluma, uchochezi, nikawaida yake ,huyu jamaa ni mpenda pesa naomba niwaonye watanzania wenzangu wamubeze kama wanambozi wanavyomuelewa ndiomaana ameamua kukaa Dar. kwani ni mbinu za CCM kumutumia naona ccm watafute alternative nyingine kwani huyu jamaa hana mvuto kwa watanzania hadi watoto wanamdharau. kama ataendea niko radhi kufanya mdahalo naye kwani namuelewa vizuri.naomba kuwasilisha!!!!!

Kweli wewe ni wa Mbozi...mwakata Mnkondya!!!
 
Ni upepo tu............
Utapita halafu........
Kuna watu ni yatima hawamjui Baba wala Mama lakini maisha yanasonga.
 
Tumekuelewa mama W P SLAA,hongera kwa kumzaa Rais
 
Huyu Taswira nadhani ni ID ileile ya kina naniii!!
 
Mtela!Na ww nikikuomba
nenda kamuulize Mama kama ni mtoto wa Mzee Mwampamba nitakuwa nakosea
au!Mwanangu kapata F masomo yote 10 chini ya utawala huu unao ulamba
miguu sasa!

na wewe umechangia ulifanya juhudi gani?
 
Trash; Masalia Mwampamba kushnei! kwani sisi asili, jina, dini, rangi au kabila la Dr. Slaa vinatuhusu nini au vina athira gani kwa maslahi ya taifa?!

Cha msingi ni Dr. Slaa hai, tunayemuona na anayeitoa CCM jasho, mpambanaji anayepigania ukombozi wa kweli wa taifa letu.
 
Mi sielewi kwanini ujinga kama huu unaachwa hewani wapo watu wengi tu wanatumia majina ya kupewa, kweli hata jina ni swala la kuuliza? huu ni upumbavu hawa watoto ni wakuuwapuuza kabisa na si kila anachoongea Juliana na Mwampamba basi tulete hapa. HUu ugonjwa si wa kuacha sasa kila kitu akisema kiwe cha kijinga au cha maaana mnaleta humu. Ni kuwapa umaarufu wa bure. Huyo mwampamba yeye ndio mama yake Slaa?
 
umeanza kuitukana chadema ukifukuzwa tena ccm utaikutana ccm leo umeanza na slaa basi kinana ajiandae
 
Huu ndiyo upuuzi utakaiangamiza CCM. Hili litaisaidia nini CCM? Kama ni kupoteza dira ndo huku.

Kweli kabisa kuna hoja nyingi sana za msingi za kujibu... sasa kwa uelewa wao finyu wanafikiri kuleta upuuzi huu ndo kutasaidia kuwachanganya watanzania, wapepoteza dira kabisa.... bado issue ya matokeo ya form IV hawajajibu!!!!
 
Hivi hawa ccm wana akili kweli,sasa baba wa slaa anatuhusu nini sisi.duh! Hawa jamaa wamepoteza dira kabisaa wameshindwa ya kuongea sasa wanawatumia hawa vijana kuwapaka matope viongozi wa chadema,juliana na mbowe,huyu nae na slaa,bosi wao Nape is watching from behind.
 
Back
Top Bottom