Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Mtela kama ndio mama mzazi wa dr slaa maana unakazana kama unamjua baba yake by the way imezaliwa juzi sasa umbea utakufikisha wapi fanya ya msingi
 
Huyu mzee mbona mtata? wake anao watatu(PARESSO, KAMILI na MSHUMBUZI) Mpaka sasa hatujui yupi ni yupi na kwa nini, kumbe hata baba ni wa kuchonga? ila haishangazi ni juzi tu amewakana KAMILI na PARESSO kuwa hawana hadhi ya kuwa wake zake. Inawezekana hata LINUS na EMILIANA nao siyo watoto wake.
 
Mtela kama ndio mama mzazi wa dr slaa maana unakazana kama unamjua baba yake by the way imezaliwa juzi sasa umbea utakufikisha wapi fanya ya msingi

Hapana,watanzania tuna haki ya kujua tabia za viongozi wetu hasa chakaramu kama huyu mzee.
 
Inaweza kuwa anafanyiwa burdan na huyo jamaa kwa nini ajibu issue isiyomuhusu

Mkuki kwa nguruwe kwa binamu mchungu. Lazima mkubali yaishe, hata OSAMA alilelewa na MAREKANI, alianza kuonesha makucha yake wakamuita Gaidi. Vumilieni tu mpate vidonge vyenu sisi yetu macho.

"UKITAKA KUWA MWANASIASA LAZIMA UWE NA NGOZI NGUMU-SITTA"
 
Ndugu hawa watu ni wa hovyo sana....Wamekalia habari na issues za kizushi na zisizo na manufaa kwa taifa hili.
Watanzania hatuihitaji kusikia masuala ya kipuuzi kama haya ilihal taifa linazidi kuteketea. Tunahitaji kusikia nini hatima ya 86% ya watoto wetu waliofeli mtihani, nini hatima ya watoto wetu wanaolundikwa kwenye shule za kata na kukaa miaka minne bila faida.
Watueleze hatima ya taifa letu kwenye kadhia hii ya udini, mauji ya viongozi wa dini, uchomwaji wa nyumba za ibada za wakristu.

Wewe unaona kiongozi wa juu kabisa wa chama kudanganya baba ni issue ndogo hiyo? Mwacheni ajibu mwenyewe kama alivyojibu kuwa anamili kadi ya CCM. Mbona mke alipoguswa aliibuka na kusema yeye ni wa ukweli na kuwadhalilisha akina ROSE KAMILI na CECILIA PARRESSO.
 
Matola Mbona unakataa kile unachokifanya? wewe unawezaje kumtetea SLAA kuhusu hili? tunataka kujua kama siyo Mtanzania kwa nini afiche ubini wake?
 
Last edited by a moderator:
Huyu masalia ni mtu wa kumpuuza tu.

Hivi huko magambani (CCM) hakuna issues za kuziongelea?! Mbona watanzania kuna mambo mengi (hasa matatizo) zaidi yanayotukabili: kwa sasa tuna hii issue ya zaidi ya 93% ya vijana wetu wamefeli kidato cha nne, huduma mbovu za afya etc. Mimi nilifikiria vijana kama mwamapamba na mwezie shonzi wangekuwa mstaari wa mbele kujadili issues muhimu zinazogusa watanzania na sio kila siku Dr. Slaa. Inavyoonekana wanatumiwa tu kama Condom au toilet paper.
Tatizo kubwa tulilonalo katika taifa hili ni njaa. Tumegeuzwa masikini wa kutupwa na mazezeta ili tuuze utu kwa mlo wa kutwa moja.Tuongelee kwanza namna ya kukomesha ufisadi unaotuletea njaa za aibu kama hizi za masalia vinginevyo tutaendelea kuuza utu kwa kofia na vitenge na pilau la kutwa moja
 
Nashindwa nichangie nini?kweli ccm sio smart.kweli tuliwaweka madarakani watu wasiokuwa na akili.wanaongelea person issue hapa.NA KUACHA MATATIZO YA TAIFA AMBAYO KIBAOOOOOOOO.YAANI CCM SASA WAMEISHA.JAMANI WACHIMBAJI WA KABURI WAMESHAMALIZA KUCHIMBA PALE KINONDONI ???????.KWANI HUYU GAMBA ATAFARIKI SIO MUDA MREFU.
 
Kwahiyo jambo ulilomvumila Dr Slaa ulipokuwa CHADEMA ni kuhusu baba yake halisi ni nani na kwamba unamjua na Dr slaa anadanganya. Sasa embu tuambie tukishajua jina la baba yake nin kitafuata?

Hivi mkuu ukingundulika kuwa baba yako uliyemtambusha siye na kwamba baba wa ukweli umemtelekeza utajisikiaje?
 
Nashindwa nichangie nini?kweli ccm sio smart.kweli tuliwaweka madarakani watu wasiokuwa na akili.wanaongelea person issue hapa.NA KUACHA MATATIZO YA TAIFA AMBAYO KIBAOOOOOOOO.YAANI CCM SASA WAMEISHA.JAMANI WACHIMBAJI WA KABURI WAMESHAMALIZA KUCHIMBA PALE KINONDONI ???????.KWANI HUYU GAMBA ATAFARIKI SIO MUDA MREFU.

Hivi kuongelea personal issues za CDM ndo inakuwa tatizo? kwa wengine ni sawa? hii issue mliileta wenyewe wa CDM kutaka NAPE aongelee familia yake, huyu mleta mada katanguliza na yeye kile alichokuwa nacho.
 
Vichwa vya panzi.matatizo ya GESI MTWARA MMEMALIZA ?????,WATOTO KUFEILI MMEMALIZA,HATA SITAKI ONGELEA MENGI ZAIDI.Ndio maana Nchi inarudi nyuma kumbe hata washauri wake matope matupuuuuuuu.
 
Baada ya kumshauri Shonza nachukua nafasi hii kukushauri na wewe Mwampamba,
siasa za mtu mmoja mmoja hazina tija, mimi binafsi sijaona jambo la Msingi hapo, kwani viongozi wote Tanzania tunawajua wazazi wao? Hatutaki siasa za mambo ya kifamilia bali tunataka siasa zenye tija katika maendeleo. Onesha busara zako ikiwa ni pamoja na kuheshimu wakubwa na wadogo katika nyanja zote za kimaisha, sifurahii tabia zenu hata kidogo.
 
Watanzania Tuendelee kutoa maoni ya KATIBA hawa watu wanataka msifuatilie kutoa maoni ya KATIBA.MWISHO WAO UMEFIKA.
 
Nasikia TOT wamepata wanakwaya wapya.na wamekuja na nyimbo nzuri sana.Chama chetu cha matusi chajenga nchiiiiiiiiiiiiiii,chama chetu cha matusi chajenga nchiiiiiiiiiiiiiiii.oh Lusinde haaaaaaaaaaaa,shonza haaaaaaaaaaa,mwampambe haaaaaaaaaaaaaaaaaa,tembo wetu haaaaaaaaaaaaa.chama chetu cha matusi chajenga nchiiiiiiiiiiii chama chetu cha matusi chajenga nchiiiiiiiiiiiiiii.ONGELA SHONZA NA MWAMPAMBE .
 
Ndio kazi waliyotumwa yeye na mpuuzi mwenzie kuifanya na CCM?
 
Back
Top Bottom