Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

Mtela Mwampamba afunguka ndani ya Passion FM

inatusaidia nini sasa? Hivi kwa nini tusijadili mambo muhimu? mara jina la slaa, mara kigwangwala mara nape! yanatusaidia nini zaidi ya kutupotezea muda. hata kama jina halikuwa la kwake na sasa anatambulika kwa jina hilo tatizo liko wapi? mbona hata akina jenerali ulimwengu walikuwa wanaitwa akina twaha na hakuna kilichoharibika? huu ni upuuzi
Wakuu kama upo karibu na Redio tune passion fm muda huu(Saa mbili asubuhi) Mtela Mwampamba anafanya mahojiano kuhusu siasa zake,
Nimesikia kwa masikio yangu,Mtela mwampamba akidai anamjua baba mzazi wa Dr.slaa na familia yake halali ilipo.Mtangazaji alipo mhoji kuhusu kwani Dr.Wilbroad peter slaa sio jina lake,Mwampamba akajibu sio jina lake.Dr.slaa anatumia jina la mzee mmoja maarufua karatu anaitwa peter Slaa,Yeye Dr.slaa anababa yake na anajina lake halali la familia yake.Hili za mzee peter slaa alipewa kulinda heshima fla" Jamani Heshima gani hiyo???

Katika hali ya kushangaa Mtangazaji akamuomba mwampamba atoe ushahidi wowote kuhusu mzee peter slaa,Duh mwampamba akampatia picha inayoonesha Mzee peter slaa ambaye si baba mzazi wa Dr.W.peter slaa.

Kupitia wall ya Mtela mwampamba(facebooka) asubuhi ya leo ameweka picha ya mzee peter slaa na Dr.slaa hii hapa

Mtela Mwampamba


Asubuhi hii nipo live kwenye mahojiano "PASSION FM" muda huu,Moja ya mambo nitakayozungumzia ni Kumtaka katibu mkuu wa Chadema(DR.SLAA) ajitokeze hadharani aseme familia yake ipo wapi,Ubini wake ninani na kwanini anatumia jina la Peter Slaa wakati sio baba yake.
Huyu Mzee pichani ndiye Mzee Peter Slaa ambaye sio baba wa Dr.Slaa.Namuomba Dr.slaa aitafute familia yake na awambie watanzania jina lake halisi na sio hili analotumia sasa la huyu Mzee peter Slaa ambaye sio baba yake na hawana uhusiano.

ONYO😛ropaganda zozote dhidi ya Katibu wangu wa Uenezi(NAPE NAUYE) za kumtaka aongelee mambo ya familia yake,Naomba DR.slaa ajitokeze kwanza aseme jina lake halali na familia yake ilipo.
Nimjua Dr.slaa hawezi kukwepa hapa,Heshima yake nimemtunzia sana sasa ni wakati wake wa kujitokeza kwa watanzania aseme jina lake halali na ubini wake na familia yake ilipo.
Mengi zaidi Tune passion Fm muda huu"

uu








 
Mtela anajiongezea uhusiano mbaya miongoni mwa jamii,mbona yeye asilitumie jina lake la mzazi ATUFIGWEGWE.jamaa amechoka na ccm tayari wamemchoka.
 
Yeye ana hukakika baba yake ni Mzee Mwampamba? Halafu hayana uhusiano wowote na weledi wa mtu! Hata kama ni kweli kiafrica ni jambo la kawaida sana kama mtoto amekuwa adopted au baba yake mzazi hakumlea n.k
 
ni aibu pia na upuuziii...ni jambo la kusikitsha kwa kija kama huyu kufanya mambo kama haya...ana iyahibsha ccm....
kama na yy ni kiongoz basi tanzania itakuwa inaongoza kwa viongoz wapuuz duniani
 
anastahl kupgwa risasi....mpuuuzi..umaskini unatutesa anaondelea uzandk na upuuz....
nilijua atakuwa mzalendo, kumbe ni kijana ambae ana fikiri kwa kutumia makalio...
 
Huu ni upuuzi, watu sasa hivi wanajadili jinsi watoto wenu walivyofeli wengine so called UDSM's wasomi wanakuja na mambo ya familia ya wanasiasa, Ina maana...
1. Watoto wamefeli kwa sababu Dr. Slaa au Nape kasingizia baba?
2. Maisha yamepanda kwa sababu Dr. Slaa au Nape kasingizia baba?
3. Umeme umekuwa tabu kwa sababu Dr. Slaa kasingizia baba?
4. Watu nchini ikiwemo jiji kubwa Tanzania kuendelea kunywa maji machafu au wasipate maji kabisa ni kwa sababu ya Dr. Slaa kasingizia mzazi?
5. Ufisadi umeongezeka eti kwa sababu Slaa kaficha juu ya mzazi wake.
6. Chuki za kidini zimeongezeka eti kwa sababu Dr. Slaa kasingizia mzazi.
7. Shonza na Mwampamba wanaendelea kutokota eti kwa sababu Dr. Slaa kasema uongo juu ya baba yake mzazi.
8. Meli iliyokamatwa ikiwa na shehena ya gesi (Mwakyembe anaelewa ninachokiongea) ya wizi/ufisadi kupitia Magogoni ni kwa sababu Dr. Slaa au Nape wameshindwa kuthibitisha wazazi wao.

Huu ni U.P.U.M.B.A.V.U tu, kuna vitu vya maana people need to focus on kuliko huu utumbo wa mtu anyejiita msomi. There are so many Mwigulus ndani ya CCM, nafikiri ingekuwa vyema Mwampamba akajitafakari kuona kama kuna genetical relation kati ya yeye na Nchemba.
 
Back
Top Bottom