Wadiz
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 5,484
- 11,246
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.
Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.
Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.
Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.
Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.
Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.
Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.
Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.
Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.
Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.
Unoko ni aina pia ya uzalendo.
Wabillah Tawfiq.
Wadiz.