Mtangazaji wa Michezo Wasafi FM Maulid Kitenge, Kuzurura kote Ulaya na Marekani bado tu Kiingereza kinakutesa?

Sifa kubwa ya mwandishi wa habari ni kujua lugha mbalimbali at least 2 za kimataifa.
Mojawapo ya kazi zao ni kufanya mahojiano na watu tofauti, wa mataifa tofauti.
Kama kweli amefanya hivyo ni kanjanja najua utopolo watamtetea ila ukweli utabaki kama ulivyo.
Vilaza wenzake wamemtetea kwa povu jingi sana.
 
Mimi niliguna nikajua nimesikia peke yangu.....
Hivi vitengo vingine inabidi wahusika wawe wanajiongezea sana hata kwa mazoezi ya mara kwa mara upande wa grammar ,pia tatizo hili huwakuta hawa ndg zetu askari traffic pale wanaposimamisha gari ya mgeni ambaye kiswahili kwake ni zero
 
Kijola una miaka zaidi ya ishirini kwenye uandishi wa habari na utangazaji lakini lugha ya mawasiliano kimataifa inakupiga chenga,nenda hata kwa Ras Simba, utaibeba aibu hii hadi lini?
Anachokijua Mtangazaji Maulid Kitenge ni kwenda huko Majuu ( Ulaya na Marekani ) huku akipiga Picha akiwa katika Mighahawa na Kujiegesha katika Gari za Kifahari hi huku kila akiunganishwa na Wenzake wa Mbezi Beach utamsikia ' naripoti nikiwa hapa Washington DC Marekani ' wakati pamoja na kuwa hapo Kiingereza pekee anachokijua ni cha kusema ' Welcome Tanzania ' tu. Hovyo kabisa!!!!!!!
 
Back
Top Bottom