Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Kutoka mala ni mimi george malatu wa Itviiiii

Hahahaaaa huyo wala hamkeri....Hivi huyu mleta mada anaweza kumwelewa Mohammed Ali Mzee wa jicho pevu? si ataona anaongea kichina...
 
Huyo kivuyo aachane na habari za mpira kwani mpira hauchezwi mdomoni unachezwa uanjani maneno mengi point zero.
 
watu wengine bwana ...yaani wewe had inafika SAA 2 hukuwa unajua Matokeo ya stars na Nigeria na ulitegemea ukajue ktk taarifa ya habari...kwani lazima uangalie ITV ? kwa taarifa yako wenzio tunajionea miutamu tu...na aongeze mbwembwe zaid na zaid ....kiswahili kinakosa wataalamu .....hata akitumia neno imma fa imma hujui maana yake ....na hata akisema hansini radhi sitini majinuni.......oyoooooooooooo

Cc Kipilipili
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV upande wa michezo huyu mtangazaji badala ya kutuelezea mechi ya Taifa stars na Nigeria ilivyokuwa, yeye anatia mbwembwe kwa misemo yake isiyoeleweka.

Sio watazamaji wote walioshuhudia mechi hiyo ni vyema akasimulia kwa lugha ya kawaida watu waelewe badala ya misemo isiyoeleweka.

Huyo alitakiwa awe mchunga mbuzi siyo mtangazaji, hovyo kabisa. Mithali hizo hizo Kila siku hazina uhusiano na anachotaka kukisema, wengine tunapata kichefuchefu kumsikiliza.
 
Acha wivu wa dada ako wewe jamaa anafanya ubunifu wake awe unique..big up to him
 
Binafsi hata kama nisipoielewa habari yake ila zile mbwembwe zake ni burudani tosha.

Tena utamu Unazidi anavyoripoti ushindi wa Jangwani dhidi ya dhimba.!
 
Kwa ufupi ITV baada ya taarifa za habari za kitaifa, habari zingine zote zinazofata wanachemka kabisa..za kimataifa uwezo wao ni kutuambia vita ya Congo tu, biashara wao ni promotion za mitandao ya simu na vikoba..michezo bila kivuyo ndio anatagemewa...
 
Nnaweza kuwa kwenye wachache ila mimi sipendi anavyoripoti, nikimuona tu nabadili chaneli! Moya!
 
Mimi simpendi kabisaaa, sema niligurahia iliporusha habari ya mabadiliko
 
Kivuyo kw kwel kwng n hatari...nampenda sn...ananikosha utangazaj wake....ila tuuu simba ikifungwa ndo hua smkubal
 
Hemedi kivuyo hunifanya kuhamisha channel kila ninapomsikia
 
Kivuyo is my best reporter....anakwambia "wanjano hao wenye unasaba mkubwa na mapenz maku'ubwa.."say go kivuyo go kivuyo...
Wen i say hemed ya all say kivuyo...am out
 
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV upande wa michezo huyu mtangazaji badala ya kutuelezea mechi ya Taifa stars na Nigeria ilivyokuwa, yeye anatia mbwembwe kwa misemo yake isiyoeleweka.

Sio watazamaji wote walioshuhudia mechi hiyo ni vyema akasimulia kwa lugha ya kawaida watu waelewe badala ya misemo isiyoeleweka.

unamkubali sema hujajijua..
 
Back
Top Bottom