Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Mtangazaji wa kipindi cha michezo cha ITV, Hemed Kivuyo amekuwa kero kwani amekuwa anatangaza habari za michezo Kihuni. Mtangazaji huyo amekuwa na kejeli sana hasa anapotangaza habari za Klabu ya yoyote dhidi ya Yanga.

Tunamshauri apunguze Mahaba dhidi ya Yanga.
Huwa sisikilizi upuuuuzi wake, nikisikia vitendawili tu mwanzo wa simulizi za michezo natoa!
 
Back
Top Bottom