Kwa taarifa hii ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa aliye Safarini Rwanda na Yanga SC kuna la Kujifunza?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
 
Sawa
 
... nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari
Nilichojifunza ni kwamba wameamua kuhifadhi taka ndani ya gari kwa kuwa wameona aibu kuzitupa, sio kwa kuwa wana tabia ya usafi. Kwa lugha nyingine, wakipita maeneo mengine (hata nchini) na wakiona taka zimezagaa, na wao watazitupa zao barabarani
 
Wakikutana na Muganda ,watafanya usafi ki lazima
 
Nilichojifunza ni kwamba wameamua kuhifadhi taka ndani ya gari kwa kuwa wameona aibu kuzitupa, sio kwa kuwa wana tabia ya usafi. Kwa lugha nyingine, wakipita maeneo mengine (hata nchini) na wakiona taka zimezagaa, na wao watazitupa zao barabarani
Nchini Kwao walikozoea Uchafu na Upuuzi.
 
"Naam Amri Masare yaani tokea tuingie Rwanda na Msafara wa Mashabiki wa Yanga SC na sasa tunakaribia Jijini Kigali hatujakutana na Trafiki yoyote, Beria yoyote wala matuta ya Kupunguza mwendo barabarani na nchi ya Rwanda ni Safi hadi hata kutupa Takataka unaona Aibu na tumezihifadhi tu ndani ya Gari zitatupwa sehemu Maalun tukifika" Sauti ya Mtangazaji wa ITV na Radio One Hosea Mchopa akiwa njiani na Msafara wa Mashabiki wa Timu ya Yanga SC kuelekea Kigali nchini Rwanda Mchana huu wa Leo.

Hosea Mchopa nami GENTAMYCINE nakujibu kuna Taifa Moja Afrika nimelisahau Jina lenyewe Jiji lake Kuu Moja ni Chafu, Wakazi wa huo Mji nao Akili hawana ( na kama wanazo ni za Kuvukia tu Barabara na Kuchamba Maliwatoni ) na wana Trafiki kama Nzi wa Chooni kila baada ya Mita 50 au 100 na ni Taifa ambalo lipo lipo tu huku likizidiwa Maendeleo ya Israeli ya Afrika ( Rwanda )

Ukiona hadi GENTAMYCINE nalipenda Taifa la Rwanda ( Israeli ya Afrika ) jua nimeshajiridhisha nayo kuanzia Rais wao nimpendae hakuna mfano na Wananchi wote wa Rwanda kwakuwa wana Akili kuliko wale wanaotaka kugawa Rasilimali Maji zao kwa Emirati Wapigaji.
Utupe na taarifa za Zambia..!!
 
Back
Top Bottom