Ww sio mjamzito kweli?Watu kweli tupo tofauti.......
Nikimsikia huwa nabadili chanel kwa sababu nasikia kutapika.....hasa kwenye moja anavyosemaga moya......yuk.....ptuuuu......
Uwe unakaaga na kalimao.Watu kweli tupo tofauti.......
Nikimsikia huwa nabadili chanel kwa sababu nasikia kutapika.....hasa kwenye moja anavyosemaga moya......yuk.....ptuuuu......
Hapo sasa ndo utapata na nyimbo hata usizozijua jamaa namkubali sanahaswa yanga ikifanya vizuri. Utafurahi,kama Habari ya leo
Kweli pole yao,yule kiumbe noma sana.Kuna wale BRN huwa hawamwelewi, pole sana
Hizi ni level nyingineboya tu huyo, ubunifu huo umempa nini zaidi hawaoni wenzake kina dauda na kumwembe
Ahah ahahahUkewenza ni mgumu...majuto ni mjukuu..hayo ni mane no ya siti binti saad..taifa stars...ilishakunywa sumu...ilichokuwa ilifanya ni kurusharusha miguu tayari kwa kufa......neno moya tuu ni Kuwa...
Nimechekaje..... Humu ndani watu mna vituko sana, kula like mkuu, nimeipenda hiyo "kwa heri ya kuonana simba, wasalimie daraja la kwanza" Kivuyo ni sheeeeda msimbazi, jana alitupa wimbo wa marijani rajabu, leo kaja na ukewenza