Zee la Nyeti
JF-Expert Member
- Aug 5, 2014
- 702
- 470
Hata ujitahdi vipii mkojo wa mwisho ni wa kwenye chupi tu"
Hahahhahahahaa hilo nalo nenooo!
Hata ujitahdi vipii mkojo wa mwisho ni wa kwenye chupi tu"
Nilikuwa naangalia taarifa ya habari ya ITV upande wa michezo huyu mtangazaji badala ya kutuelezea mechi ya Taifa stars na Nigeria ilivyokuwa, yeye anatia mbwembwe kwa misemo yake isiyoeleweka, sio watazamaji wote walioshuhudia mechi hiyo ni vyema akasimulia kwa lugha ya kawaida watu waelewe badala ya misemo isiyoeleweka

Sema kakukera ishu ya J Makamba

Unahitaji mabadilikoApeleke riwaya zake huko kwenye Simba na Yanga, stars ni yetu wote. Mbwembwe huku timu imetoka sare ni kuboa watu