Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Mtangazaji wa kipindi cha michezo cha ITV, Hemed Kivuyo amekuwa kero kwani amekuwa anatangaza habari za michezo Kihuni. Mtangazaji huyo amekuwa na kejeli sana hasa anapotangaza habari za Klabu ya yoyote dhidi ya Yanga.

Tunamshauri apunguze Mahaba dhidi ya Yanga.
 
Mtangazaji wa kipindi cha michezo cha ITV hemed Kivuyo amekuwa KERO kwani amekuwa anatangaza habari za michezo Kihuni.Mtangazaji huyo amekuwa Na kejeri sana hasa anapotangaza habari za Klabu ya yoyote dhidi ya Yanga.Tunamshauri apunguze Mahaba dhidi ya Yanga .

Chuki binafsi hizi
 
Amefanya nini? Naona unalalamika bila maelezo mazuri
 
Ndio staili yake hiyo!!
Labda umejishtukia kwasababu jiwe limetupwa gizani......au umekwazika na ile stori aloyoanza nayo ya Osama bin Laden?
 
Mtangazaji wa kipindi cha michezo cha ITV hemed Kivuyo amekuwa KERO kwani amekuwa anatangaza habari za michezo Kihuni.Mtangazaji huyo amekuwa Na kejeri sana hasa anapotangaza habari za Klabu ya yoyote dhidi ya Yanga.Tunamshauri apunguze Mahaba dhidi ya Yanga .
Mikia mbona mnalalamika kila kitu kama watoto wa kambo.....?
 
Ukweli utabaki kuwa Ukweli...na kwenye Ukweli kuna machungu....ni kweli la mkono na ni kweli la kona.
 
Kwanini mashabiki wa simba mna jazba hivyo yaani mnashambulia kila kitu kilicho mbele yenu....viti mmeng'oa sasa hivi mnataka kumng'oa Kivuyo hahahaha
 
Back
Top Bottom