madeinmusoma
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 326
- 391
Jamaa ana mbwembwe .. ebu kumbusheni vituko vyake.
Jamaa ana mbwembwe .. ebu kumbusheni vituko vyake.
Ungeanza kukumbusha wewe uliyeanzisha uzi
Nikimsikia tu, nabadiligi channel.
Hata ujitahdi vipii mkojo wa mwisho ni wa kwenye chupi tu"
Nikimsikia tu, nabadiligi channel.
Yanga ni timu ya wananchi,kivuyo ni mwananchi hakuna cha kushngaza hapo