Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

Toka ,sitoki,toka sitoki! Hamkani mambo si shwari huko msimbazi!
Sio lazima uvione vifo vingi ndo utambue thamani ya uhai,lakini simba ishaona drop nyingi na imetambua hatima yao.

Ni kama mwembe wa uwani ,maembe yanavyochumwa kirahisi ndivyo timu zinavyojichukulia pointi kwa mnyama.
Hata uchague jeneza nzuri vipi lakini hamdani huwezi kuchagua mwendo wa kukupeleka kaburini,ndivyo ilivyo kwa msimbazi,INA kikosi mujarabu lakini timu pinzani ndo zinaamua ziisulubu vipi

Kwenda haipp mbali na kumi na moja ukijumlisha na kumi bado haitimii dazeni

Kwa heri ya kuonana simba,wasalimie daraja la Kwanzaa

Mimi ni hemed kivuyo wa aitiviiii
Katavi Job K Amavubi VOICE OF MTWARA, kanthwe

Hahahaaa!e bana yani nimeisoma kwa sauti ya Kivuyo inakuja mulemule!!naomba ntafutie ile alosoma ckui ile simba na yanga walipotoa droo!
 
Last edited by a moderator:
Mimi namfagilia shaffii dauda na mis zake. Shaffii upo upo juu kama kama ronaldo
 
Haaaa simba njoo ni huku kwa kivuyo Leo kama na nyimbo za DDC,Christina na mfaume
 
Kivuyoooooooooooooooo!ha ha simba mtakoma jumamos labda mshinde hiyo mechi
 
Haaahaaaaah jamaa alivoichambua habar ya Chid benzi jinsi alivofurushwa kavaa kata k ni sheeeeedaah
 
Haaahaaaaah jamaa alivoichambua habar ya Chid benzi jinsi alivofurushwa kavaa kata k ni sheeeeedaah

Ayaaaa dah nimeikosa habari yake dah hapa tanesco wamefanya yao sijui watarudisha saa ngap.
 
Maulid Kitenge si yupo E FM siku hizi? Tatizo redio yenyewe inasikika mwisho Mbezi.

Hili ndio Tatizo la Radio wanzo hamia yani E FM na Times FM mwisho wao dar! Maneno mengi kumbe wana sikika mwisho Dar!
 
Neno moja tu ni kuwa taifa starz ilitaka kuuma chuma kwa meno,ikasahau Nazi haivunji jiwe

Ingawa anatoa maziwa ,lakini ng'ombe akinywa sumu anakufa,ndivyo ilivyokufa Leo
Ana kweli kamba hukatika pabovu,alisema shabaan bin Robert, wakijinasibu kwa madaha!! Huku wakipiga Paso mujaraabu,staz waliambulia dhahama bin dhoruba kutoka kwa naijeria
Hahaha unaniacha hoi
 
Sipati picha siku atangaze habari za siasa na apelekwe kule mjengoni Dodoma.

Ahahahahh, siku hiyo nitacheka hadi machozi, najua atawasema wale waheshimiwa kesho yake tu kitu cha kwanza ni kuomba muongozo wa spika kuhusu mtangazaji
 
Toka ,sitoki,toka sitoki! Hamkani mambo si shwari huko msimbazi!
Sio lazima uvione vifo vingi ndo utambue thamani ya uhai,lakini simba ishaona drop nyingi na imetambua hatima yao.

Ni kama mwembe wa uwani ,maembe yanavyochumwa kirahisi ndivyo timu zinavyojichukulia pointi kwa mnyama.
Hata uchague jeneza nzuri vipi lakini hamdani huwezi kuchagua mwendo wa kukupeleka kaburini,ndivyo ilivyo kwa msimbazi,INA kikosi mujarabu lakini timu pinzani ndo zinaamua ziisulubu vipi

Kwenda haipp mbali na kumi na moja ukijumlisha na kumi bado haitimii dazeni

Kwa heri ya kuonana simba,wasalimie daraja la Kwanzaa

Mimi ni hemed kivuyo wa aitiviiii
Katavi Job K Amavubi VOICE OF MTWARA, kanthwe

Nimechekaje..... Humu ndani watu mna vituko sana, kula like mkuu, nimeipenda hiyo "kwa heri ya kuonana simba, wasalimie daraja la kwanza" Kivuyo ni sheeeeda msimbazi, jana alitupa wimbo wa marijani rajabu, leo kaja na ukewenza
 
Last edited by a moderator:
namshauri awe mbunifu kidogo mara nyingi anarudiarudia yale yale
 
Leo km umemsikiliza ndio kaua kabisa.
 
Ha ha ha.. ndo tatizo hilo Katavi.. Inawezekana aliahidiwa maslahi mapana zaidi lkn alipaswa kuangalia coverage ya hiyo radio na exposure ambayo ataipata.. Maana pale Radio 1 naona alikuwa anapata trips za ughaibuni nyingi tu.. Pia alikuwa anasikika kwa mamilioni ya washabiki wake.. Ningemuelewa kidogo angeenda hizi radio ambazo kidogo ziko muda na zimejijenga..

sure sure, alikosa professional advices
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom