Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
3. Alipopewa tuhuma na Saanane na Mamuya, badala ya kujibu hoja, aliandika kwa hasira, kihuni na kosa kubwa alilolifanya ni kuzungumza wazi wazi Imani ya kishirikina. Maneno kama kuaga kwetu, panya kutokusalimika n.k. hayakuwa maneno ya kuzungumzwa na ROLE MODEL ambaye ni RAIS MTARAJIWA.

/QUOTE]

Hapo kwenye RED - Kuongozwa na Rais mshirikina ni hatari sana kwa afya ya demokrasia huru!

kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo mchaga wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

zzt ni jembe hilo lipo wazi sana.....kwa jinsi baadhi ya wana cdm wanavyo muandama sijui kwanini wanafikia huko,lakini anapokuwa pale bungeni na kusimamia hoja barabara wanamkubali sana ila linapo kuja swala la kutaka kugombea madaraka ndani ya cdm jamaa anaonekana hafai....
 
Kweli nimeamini kupenda ni sawa na wendawazimu.
Mkuu hii wala sio kupenda,we jitahidi tu kuanzia leo kuwasikiliza zitto na Mnyika,na unapowasikiliza sikiliza kwa kutumia akili sio moyo.
 
SEBM
kwa nini usirudi na ID yako ya kawaida? Zitto amewajibu vile inavyotakiwa mnajitahidi sana kumfanya slaa hayumo kwenye sakata hili; ukweli babu ndiye mhusika mkubwa kina Ben Saanane ni vikaragosi tu vinatumiwa kama ambavyo wewe unavyotumiwa; slaa ameshadanganya mengi sioni huo utukufu unaotaka kumpa!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu chama,

Naona leo umekuja mara ya pili na kauli yako ya kunituhumu kuwa mimini mwenyeji; kuna ninayemtumikia. Leo umekuja na kunihusisha na ID yangu ya 'kawaida iliyozoeleka'.

Unapotea sana. Naomba tu uweke rekodi sawa sawa. Nimekuwa nafuatilia siasa za Tanzania za mtandaoni nadhani tangu mwaka 2006. Enzi za Jambo Forum na enzi za Dar Hot Wire (kupitia DHB). Lakini tangu enzi hizo, hadi March Mwaka huu, sikuwahi kuwa MWANACHAMA wa forum hizi mbili. Zaidi nilikuwa GUEST.

Hivyo, unapotaka kunituhumu kwa mambo usiyokuwa na ushahidi nayo, unakosea sana. Labda pengine tuwasiliane zaidi na zaidi tufahamiane, halafu tuonane (kama kweli uko Gombs), halafu utapata mshtuko wa mwaka ukiniona. Umaarufu/kujulikana kwangu kunaishia mtaani kwetu tu hapa. Si hiyo kofia ya 'uenyeji' unayotaka kunipatia.

Wasalaam,
 
Last edited by a moderator:
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru! Chama Gongo la mboto DSM
Kweli ZZK alikuwa anamfeel sana Wema ktk picture ya pamoja,diamond sijui na kaufadhili ka ile show ya watumwa waliohisi kuwa utumwa umepungua na hivyo wanahitaji uongeza sijui kama alishtuka au alivumilia?
 
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu chama,
Punguza mapovu. Punguza mihemko. Hapa tunajadiliana kwa hoja. Kuna usemi unasema, " ... na asiye na dhambi, awe wa kwanza kumtupia jiwe mama huyu.." Unajua tafsiri na maana ya maneno haya?

Usitake tukaanza kujadili maisha binafsi ya watu. Wewe una maisha yako binafsi. Katibu Mkuu na Naibu wake wana maisha yao binafsi pia. Unakumbuka ile habari ya " wale wana ndoa wawili (Mungu awarehemu) na ile tuhuma iliyopelekea viapo vya kula kondoo kutokana na kutuhumiana kusaliti ndoa?"..

Nakuomba tusifike huko

Nakala Taswira, Mungi, Mingoi, PhD
 
Last edited by a moderator:
zzt ni jembe hilo lipo wazi sana.....kwa jinsi baadhi ya wana cdm wanavyo muandama sijui kwanini wanafikia huko,lakini anapokuwa pale bungeni na kusimamia hoja barabara wanamkubali sana ila linapo kuja swala la kutaka kugombea madaraka ndani ya cdm jamaa anaonekana hafai....
Zitto ktk siasa hana tofauti na akina Boban, na chuji.Ni walewale wasio na faida za ukaidi wa kijinga.Ni uchokoraa tuu, boban habebeki wala hana chochote zaidi ya kiwango cha kutosha compliment siasa za majungu kwa kiasi cha kuchanganya makundi tuu ila hakuna kitu. Boba na chuji wana dhamani gani nje ya nchi hata ktk timu za bongo tuu hawana thamani hiyo.NI vitabia vya kijinga vinavyorudisha kigoma na Tabra nyuma, wao best achievement ni kuleta matatizo na ubishi wa vijiwe vya gahawa na kuhisi kuwa watajenga personal profile.
 
uROHO GANI ULIO UONA
WEWE?SISI TULIO KANDA YA ZIWA TUNAMKUBALI SANA ZITO KWELI NI JEMBE.SONGA
MBELE ZITO USITISHIKE NA WATU WACHACHE SANA WANAOKUCHAFUA.

jembe la kuzolea kinyesi?uroho wa madaraka ndo unawasumbua wa kigoma,hatari sana.
 
Ndugu wana jf ni dhahiri huyu Piliton ni mojawapo ya masalia ya ZZK.Napenda kumtahadharisha huyo gamba asitutukane watu wa mkoa wa Mara kwani haijawahi na haiwezi tokea tukatumiwa na magamba kukihujumu chama chetu(CHADEMA).Piliton(masalia) wanajanvi walishatoa ushauri wa bure kama mnaona Zitto Kabwela ni jembe anzisheni chama chenu,kwa nini mung'ang'anie CHADEMA? Au ndo' una amka kutoka usingizini? Wana janvi kuna maswali ya msingi ya kujiuliza juu ya Zitto wala hauhitaji kuwa na degree ku-ufahamu ukweli:
Mosi, je ulisha wahi muona Zitto akifanya shughuli za ujenzi wa chama kama vile kufungua matawi ya chama,kuhamasisha vugu vugu la mabadiliko n.k
Pili, Baada ya sakata la Buzwagi,Zitto akaingizwa kwenye kamati ya kuchunguza mikataba tata ya madini,jiulize baada ya uteuzi huo ulimsikia tena Zitto akipiga kelele? Na ni kwa nini?
Tatu; kwa nini Zitto ameishikia bango hoja kuhusu uchunguzi wa mabilioni ya Uswis kuwa ni hoja yake binafsi na si agenda ya chama?
Nne; ndugu wana JF tumefuatia kwa undani zaidi ukweli kuhusu group la masalia a.k.a PM7 ni ukweli usiopingika Zitto ni mhusika mkuu.
Tano; kwa nini kila Scandle jina la Zitto linatajwa,ina maana Zitto anachukiwa na kila mtu,jibu ni HAPANA, lisemwalo lipo kama halipo linakuja, let us wait.

Ndugu mwana janvi ukitafakari kwa umakini hivyo vipengele hapo juu ni ukweli usiokuwa na shaka kuwa Zitto ni ndumila kuwili, mnafiki,mchonganishi,kigeu geu, msaliti, anatamaa ya madaraka na anapenda popularity.

Wana JF napenda kuwasilisha.
 
kuongozwa na Raisi mzinifu na anayekwapua wake za watu ni hatari sana kwa demokrasia huru!

Chama
Gongo la mboto DSM

Mwanaume yeyote anayezungumzia mambo ya 6*6 kumhusu mwanaume mwenzake huyo ana matatizo na anahitaji msaada wa haraka. chama usione aibu kuomba msaada kwakuwa inaonekana wewe ni mdhaifu downstairs kwahiyo unawaonea wivu wenzako wanaoliungurumisha. Na mwanaume anayekubali mkewe kukwapuliwa naye ni mwanaume "suruali" kama wasemavyo vijana wa mjini, time yeyote naye anaweza kukwapuliwa.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Mkuu hii hoja imekujaje tena? mbona naona kama imekurupuka hivi,kwani imelenga nini hasa?na je ujembe wa Zitto nani amejitokeza kukupinga?na hata hivyo ukanda nao umekujaje?lakini hao uliowataja nao ni wa kanda gani uloitaja vile,kiongozi watu wengine mnaokolewa na ile hali ya kutumia ID hata kama siyo ya kweli,maana hapa unakurupuka ili kuleta migongano,lakini kumbuka uko nyuma ya keyboard ya computer au laa kwenye kijisimu chako nk.ila kama wewe ni mwerevu na unao uwezo wa kufanya tathimini ndogo tu kwa ufasaha tena sio lazima tafiti ndogo hiyo iwe scientific utagundua kwamba wanaochukizwa na harakati za kuigawa CDM kwa maslahi binafsi na uroho wa madaraka,na ile hali ya kuzidiwa sifa na kudhani kwamba kila unachokisema kiwe ndio hicho na kisipingwe na mtu.mnajindanganya wewe na tajiri yako,watu wengi hawataki CDM ibomolewe na wachache mnapambana na nguvu ya umma,simameni wazi majukwaani muone kitakachowapata.
 
Sina chuki na wewe isipokuwa matendo yako ndo siyapendi na sikubaliani nawe. Mimi sitegemei siasa kuendesha maisha yangu kwahiyo siwezi kuweweseka zaidi sana wewe ndiye unaweweseka baada ya mipango yako ya usaliti kubainika.
Wasaliti wote mahali pao ni katika ziwa la moto. Ninakuhurumia ulivyojimaliza mwenyewe, umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.

Nikukumbushe pia kwamba sihitaji kumuuliza Saanane juu ya ID yako nyingine, tayari tumedhaambiwa wewe na kundi lako mna ID kama 20 hivi mnazotumia kujibu mashambulizi hapa JF pamoja na kukusifu usiku na mchana!
Mungu akusamehe bure kwani haujui ulinenalo
 
Zitto ktk siasa hana tofauti na akina Boban, na chuji.Ni walewale wasio na faida za ukaidi wa kijinga.Ni uchokoraa tuu, boban habebeki wala hana chochote zaidi ya kiwango cha kutosha compliment siasa za majungu kwa kiasi cha kuchanganya makundi tuu ila hakuna kitu. Boba na chuji wana dhamani gani nje ya nchi hata ktk timu za bongo tuu hawana thamani hiyo.NI vitabia vya kijinga vinavyorudisha kigoma na Tabra nyuma, wao best achievement ni kuleta matatizo na ubishi wa vijiwe vya gahawa na kuhisi kuwa watajenga personal profile.

Nicholas nimekugongea like na nimeku-quote maana umezungumza uhalisia wa jambo,nasisitiza Boban na Chuji wanajua mpira ni kweli hilo halina ubishi,lakini vile vijitabia vya ukaidi,kiburi,ujauaji na kujiona yeye ni yeye wala hakuna mwingine umesababisha kiwango chao kimeishia hapo na for sure hawana faida na vilabu vyao wala taifa sababu hiyo basi hata ZZK hana tofauti na kina boban,kweli ni jembe lakini jembe la aina yake kama mwanasiasa linapaswa liwe kwa manufaa ya watu na sio yake binafsi,vijtabia vyake hivyo hakika havina faida kwa chama na taifa kwa ujumla,maana adui mkubwa wa maisha magumu ya watanzania wengi ni CCM,leo unapokuwa jembe halafu jembe hilo linalima zaidi shamba lako(ZZK) halilimi shamba la watanzania nadhani halina faida tena.inanikumbusha Warid Aman Kaburu,napata mashaka na wanasiasa wa kutoka Kigoma,nadhani huyu mdogo wangu atakuja kuwa Kaburu II.Na nyinyi wapambe wake mtapotea mambo yakiharibika kila mtu atakwenda kivyake subirini muone,labda ajirekebishe.
 
Mkuu hii hoja imekujaje tena? mbona naona kama imekurupuka hivi,kwani imelenga nini hasa?na je ujembe wa Zitto nani amejitokeza kukupinga?na hata hivyo ukanda nao umekujaje?lakini hao uliowataja nao ni wa kanda gani uloitaja vile,kiongozi watu wengine mnaokolewa na ile hali ya kutumia ID hata kama siyo ya kweli,maana hapa unakurupuka ili kuleta migongano,lakini kumbuka uko nyuma ya keyboard ya computer au laa kwenye kijisimu chako nk.ila kama wewe ni mwerevu na unao uwezo wa kufanya tathimini ndogo tu kwa ufasaha tena sio lazima tafiti ndogo hiyo iwe scientific utagundua kwamba wanaochukizwa na harakati za kuigawa CDM kwa maslahi binafsi na uroho wa madaraka,na ile hali ya kuzidiwa sifa na kudhani kwamba kila unachokisema kiwe ndio hicho na kisipingwe na mtu.mnajindanganya wewe na tajiri yako,watu wengi hawataki CDM ibomolewe na wachache mnapambana na nguvu ya umma,simameni wazi majukwaani muone kitakachowapata.

masalia huyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom