Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo mchaga wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

acha kuleta ukanda hapaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!! Nec amko la mwisho!!!!!!!!!!!!!!!!! T
 
Kuna mwanamke mtaani kwetu alikuwa na tabia ya kuwasifia bwana zake. Kila akionana na wenzie anaanza kuwaadithia jinsi bwanake ana uume mkubwa, ooh anajua kunanii kuliko kila mwanamme ambae amepata kuwa nae, oooh akimfanya anafurahi, oooh hakuna anaemfika oooh.............. Lakini haya yooote yalitokana na ufinyu wa mawazo na ushamba wa wanaume. lakini kubwa zaidi ni kuwa sidhani kama wasichana wenzie walitaka kila saa kusikia maelezo ya ulimbukeni wa wanaume uliomwendesha huyu mwanamke. Anachosha , anakera.

Hili la zitto na masalia linachosha sasa. Akili zetu hazianzii na kuishia kwa uwepo/uwezo wa zitto. CHADEMA ni taasisi kubwa, uwepo/uhai wa CHADEMA hautegemei uhai wa zitto au utendaji kazi wake. Zitto alikuja na ataondoka.

Tuache ufinyu wa fikra na uzembe wa mawazo - tujitahidi kulishana mawazo na maoni yenye viwango badala ya kulishana matapishi kwa nia ya kufanya wengine wafikiri kama wewe.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
mimi ni CCM damu lakini kwa uandishi huu napata shida kuelewa kuelewa jinsi gani unamsifia mwanaume mwenzio namna hii mhhh njaa jamani haina baunsa!!!!!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

ZZK ni presidaa bwana hawa wengine wanao mwaga sera kama wanahubiri na kuhujumu ruzuku za chama kwakujikopesha mijihela wazushi tuu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom