Jackbauer
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 6,068
- 2,225
jembe ni Lema bana.....usituzingue
View attachment 76345
View attachment 76345
Mura, wewe kweli ni mmoja wa watu msiomfahamu Zitto hata chembe lakini mmejawa chuki na kudhani kwamba mnamfahamu, nakushangaa kila siku unavyoweweseka na mimi! Kuna mwenzako pia nimemshauri jana amuulize Ben Saanane kama Zitto ana ID zaidi ya hiyo yake iliyokuwa verified.Hata kama hautang'oka ama Chama hakina uwezo wa kukutimua lakini utambue kwamba wewe ni msaliti na kamwe huwezi kuwa raisi wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, labda huko chauma, Adc ama ccm.
Vilevile ni vizuri utambue kwamba wewe ndiye utakayenyooka na si mtu mwingine yeyote.
wewe ni nani hata utusemee sisi wanaMara?
Kuhusu Zito pia Kamanda umenikumbusha ki2,nakumbuka hata wakati wa2 wa A town tunawakumbuka mashujaa wetu waliopigwa risasi hapa hapa nmc zitto hakuwepo hiyo inamaanisha nn? Huyu ni mpuuzi tu na hana maana kwenye chama chetu,hiyo nafasi bora akapewa mtu mwingine ambaye atawajibika bara bara
zitto ni jembe la mkono, amepitwa na wakati, tunahitaji matrekta.
Usimdanganye, huku mara hana nafasi kama wale wanaomtuma.
Mura, wewe kweli ni mmoja wa watu msiomfahamu Zitto hata chembe lakini mmejawa chuki na kudhani kwamba mnamfahamu, nakushangaa kila siku unavyoweweseka na mimi! Kuna mwenzako pia nimemshauri jana amuulize Ben Saanane kama Zitto ana ID zaidi ya hiyo yake iliyokuwa verified.
Aisee wewe hufai hata kwa bure jamani hill jambo ni "vita vya panzi" kama kweli tunaitakia mema cdm tutoa ushauri WA kujenga tupinge pale mtu anaposea na tutoe ushauri kin a mnyika wenje nasari sugu wana mchango mkubwa sana ndani ya cdm pia ni ukweli usio pingika kwamba kuchaguliwa kwao pia kuna imputi za zzk hat a ktk historia tulisoma ya kwamba uhuru wa Ghana nq India ulisaidia struggle for indipendence for African nation ushindi WA zito kabwe mwaka 2005 umesaidia sana Hawa jamaa mwaka2010 kupata ubunge. Pia huu ukabila jamani unatapisha kwa kidhani unamtetea zzk au wapinzani wake kupe tunalitundika Tai a kwenye kitanzi. Tubadilike kama kweli ni wafuasi WA mabadiliko tubadilike jamani natoa wito. Hii sio hali.
Vipi kuhusu Prezoo, Dogo nk ambazo Ben Saanane amezitaja kwenye topic yake?Mura, wewe kweli ni mmoja wa watu msiomfahamu Zitto hata chembe lakini mmejawa chuki na kudhani kwamba mnamfahamu, nakushangaa kila siku unavyoweweseka na mimi! Kuna mwenzako pia nimemshauri jana amuulize Ben Saanane kama Zitto ana ID zaidi ya hiyo yake iliyokuwa verified.
uROHO GANI ULIO UONA WEWE?SISI TULIO KANDA YA ZIWA TUNAMKUBALI SANA ZITO KWELI NI JEMBE.SONGA MBELE ZITO USITISHIKE NA WATU WACHACHE SANA WANAOKUCHAFUA.Hana cha ujembe wowote zaidi ya uroho wa madaraka!
jamaa kwa kununua wafuasi yupo fiti
Vipi kuhusu Prezoo, Dogo nk ambazo Ben Saanane amezitaja kwenye topic yake?
jembe ajigange huko alipojiloga.
Sina chuki na wewe isipokuwa matendo yako ndo siyapendi na sikubaliani nawe. Mimi sitegemei siasa kuendesha maisha yangu kwahiyo siwezi kuweweseka zaidi sana wewe ndiye unaweweseka baada ya mipango yako ya usaliti kubainika.
Wasaliti wote mahali pao ni katika ziwa la moto. Ninakuhurumia ulivyojimaliza mwenyewe, umejikaanga kwa mafuta yako mwenyewe.
Nikukumbushe pia kwamba sihitaji kumuuliza Saanane juu ya ID yako nyingine, tayari tumedhaambiwa wewe na kundi lako mna ID kama 20 hivi mnazotumia kujibu mashambulizi hapa JF pamoja na kukusifu usiku na mchana!
Ben saanane si ni yule mtumishi wa wale mabosi wa juu.Anatumikia tumbo lake hapa mjiniMura, wewe kweli ni mmoja wa watu msiomfahamu Zitto hata chembe lakini mmejawa chuki na kudhani kwamba mnamfahamu, nakushangaa kila siku unavyoweweseka na mimi! Kuna mwenzako pia nimemshauri jana amuulize Ben Saanane kama Zitto ana ID zaidi ya hiyo yake iliyokuwa verified.
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
jembe ni lema bana!mstuzingue
Uchaga ktk uongoz wa chama unatusumbua
Kamanda Pilitoni,
People's.....
Kwa kweli unatumia nguvu kubwa sana kumsafisha Mh. ZZK. Lakini msiba wa kujitakia, hauna kilio.
Mh huyu amekuwa chanzo cha anguko lake mwenyewe. Kwa kuwaruhusu watu kama wewe kumtetea, kumsafisha na kumsifia. Baadhi ya makosa yake ni haya hapa chini:
1. Mwaka 2009/2010 wakati anaandikwa na gazeti la Mwananchi kila uchao huku akisifiwa kuwa "anatembea na barua ya kujiuzulu kwenye mkoba", aliona hiyo ni sifa kubwa sana. Akavimba kichwa.
2. Mwaka huu, kulijitokeza kundi la watu waliokuwa wanatumia jina la TUNTEMEKE kushambulia viongozi wakuu wa Chama, hususan Dkt. Slaa. Hawa walikuja na shutuma nyingi ikiwemo ya kuondolewa kwa Mhasibu wa Chama, Malipo ya Dkt Slaa wakati wa kuhudhuria kesi, Mkopo wa Nyumba, Kulipwa posho kwa Heche, Josephine na akaunti package, uchaguzi wa Iringa uliomuweka Chiku Abwao madarakani, John Mrema na feasibility study Arumeru n.k. Hawa wote walionekana dhahiri kupingana na watu maalum kwenye chama. Wakafikia hatua ya kumkejeli na kumtukana Dkt Slaa, personally and specifically hapa JF na Facebook. Kosa alilolifanya Zitto ni walau kukemea hali hiyo. Alishindwa kuandika hata mstari mmoja kukaripia hali hiyo na dhihaka hizo!
3. Alipopewa tuhuma na Saanane na Mamuya, badala ya kujibu hoja, aliandika kwa hasira, kihuni na kosa kubwa alilolifanya ni kuzungumza wazi wazi Imani ya kishirikina. Maneno kama kuaga kwetu, panya kutokusalimika n.k. hayakuwa maneno ya kuzungumzwa na ROLE MODEL ambaye ni RAIS MTARAJIWA.
4. Baada ya sekeseke la 18/12/2012 na kuendelea, wakajitokeza watu wengi JF ambao wao wakawa wanamtetea Zitto. Kuna Taswira ambaye alikuwa anakesha JF na kujibu kila post. Wakajitokeza watuhumiwa ambao walijiunga usiku wa manane wa tarehe 19/12/2012. Hawa wakaibuka na kumtetea Zitto wazi wazi kwa kuelezea kuwa ni kiongozi shupavu, ni role model na wakaenda mbali zaidi kuanza kumsema kwa dhihaka Katibu Mkuu - Dkt. Slaa. Slaa hakuhusika au hakutajwa popote kwenye PM 7. Why Shonza aliamua kumtaja bila hata sababu? Hawa wakamuharibia zaidi Zitto.
5. Tangu 18/12/2012, kumekuwepo posts nyingi - kama hii yako - zote zikiwa na lengo la kumsafisha Zitto. Bahati mbaya, hasafishiki kwa kuwa alijichafua mwenyewe.
6. Zitto amekuwa akitoa matamshi ya kibaguzi na kichochezi. Kila mara amekuwa akirejea maneno ya ukabila na ukanda. Lakini majuzi ameeleza maneno mengine mazito. Maneno ambayo si wote waliyaelewa. Alijitetea (nadhani ni wakati aidha anamjibu Nyerere au Mamuya), kuwa yeye ni mwaminifu kwa CHADEMA na kuwa yeye ameitumikiwa CHADEMA maisha yake yote na amekuwa mwaminifu. Kwa kuwa tunajua na kuamini kuwa yeye hakuwahi kuwa chama kingine chochote cha siasa zaidi ya CHADEMA, basi anamaanisha kuwa yeye ni bora kuliko 'viongozi wenzake ambao walikuwa CCM huko nyuma na sasa wako CCM; tena viongozi wenyewe wana kadi mbili"(si uanachama wa vyama viwili. Hapana. Kadi mbili!)". Hili ni kosa jingine kubwa alilolifanya Zitto.
7. Kosa jingine la Zitto ni kutokushiriki kabisa kwa uwazi (labda kwa kificho) kwenye M4C. Kila alipokuwa anaulizwa, alikuwa anasema kuwa anakuwa anakiimarisha Chama kwa njia nyingine. Kampeni za Udiwani Songea au Mwanza. Lakini kweli hata kutokea kwenye harambee moja tu? Naibu Katibu Mkuu? Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi? Naibu KUB?
Makosa ni mengi, walau kwa usiku huu tunapokula kuku mnafu hapa Makao Mapya, halafu tukale na Smaki Nick's Pub kushangilia NURU kuishinda GIZA, tuyatazame makosa haya.
Msiba wa kujitakia, hauna kilio.
Nakala Taswira, PhD, Mungi, Ecolli, Rejao, chama, Mungi