Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Kweli njaa haina baunsa. Umelipwa kiasi gani na huyo muhusika ili kuleta utumbo kama huu hapa jukwaani?.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

ni JEMBE? la mkono ? maksai au plau ?
 
Wewe gamba chama nimeshakuambia kajifunze kujenga hoja upo chini sana mkuu na kukaa kote USA kwa hela za ufisadi kutoka kwa baba yako haijasaidia kitu

wewe mtoto wa kiume mama toto kujiita jina la kike na kuweka picha ya mwanamke unaashiria kitu gani? vijana wa kiume chadema mtaendelea kufadhiliwa na wanaume wenzenu mpaka lini? Mnatupa mashaka makubwa sana; padiri alivua joho la achungaji shauri yenu! Na wewe unafadhaliwa na bwana gani hapo mjini?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC: Ritz; Matola
 
Last edited by a moderator:

Bibi chama kajifunze kujenga hoja naona unakuwa Kama sisi wakina wamama unaropoka utafikiri upo kitchen party inaelekea wewe siyo riziki ndio maana muda wote unajipendekeza kwa wanaume wenzako Mara Ritz au Mara Matola inaelekea USA walikuwa wanakuchapa nao
 
Tumeshawafahamu hata mfanyeje watanzania hatudanganyiki.

QUOTE=Pilitoni;5283290]Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe![/QUOTE]
 
Bibi chama kajifunze kujenga hoja naona unakuwa Kama sisi wakina wamama unaropoka utafikiri upo kitchen party inaelekea wewe siyo riziki ndio maana muda wote unajipendekeza kwa wanaume wenzako Mara Ritz au Mara Matola inaelekea USA walikuwa wanakuchapa nao

Unaisifia ngoma unayoicheza? Unafadhaliwa na bwana gani hapo mjini?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC : Ritz, Matola
 
Last edited by a moderator:
Hilo jembe chukua kalimie wewe, sisi ambao tunamaono na ambao tuliona hilo sikunyingi hatuhitaji jembe butu. Hilo jembe linawafaa watu wazembe wasiokuwa na uwezo wa kuwa na fikra zao binafsi hadi mtu mwingine awasomee na kuwa wekea kwenye vinywa ndipo muendelee kuimba mlichoambiwa. Hatuhitaji wanafiki kama chama ni cha kikabila kama Zito na kundi lake wanavyoaminisha watu wavivu wa kufikiri basi anzisheni chama cha ukanda wenu maana umesema mpo wengi sasa tabu ya nini kuhangaika na chama cha kikabila? Ukabila unaosemwa ni propaganda za wavivu wa chache wenye tamaa ya madaraka na m,ali za watanzania. Hatuhitaji viongozi ambao wanaubinafsi na wasiokuwa na uwezo wa kusikiliza maoni au mawazo ya wengine (selfish) hao siyo viongozi bali watawala. Eti anaamini anachosimamia huku tunajua fika madhambia makubwa ambayo amewafanyia watanzania kwa kauli za kuamini mnachosimamia.

Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

'Jembe lazima liingiziwe mpini katikati ili liweze kufanya kazi!'
 
Unaisifia ngoma unayoicheza? Unafadhaliwa na bwana gani hapo mjini?

Chama
Gongo la mboto DSM
CC : Ritz, Matola
Mimi mwanamke lazima niwe na bwana Kinachonishangaza ni wewe mtoto wa kiume kugombania mabwana na sisi ndio maana nimekuambia USA walikuwa wanakuchapa nao
 
Nice 2, Taswira,Pilitoni, chicco, Freshthinking, Honey K etc. yote ni ID mpya inayotumia password yetu ile ile. Ilhali Nice 2 akitumia Zitto mwenyewe. Kana hizi ID's kama huzijui. Passowrd ndo zilezile
 
Mimi mwanamke lazima niwe na bwana Kinachonishangaza ni wewe mtoto wa kiume kugombania mabwana na sisi ndio maana nimekuambia USA walikuwa wanakuchapa nao

Mwanamke gani amekaza? wanawake wana lugha zao; akiandika mstari mmoja unajua huyu mwanamke; wanawake wa kweli saa hizi wapo vitandani wanaliwazana na waume zao; mtoto wa kiume masahibu gani yamekupata mpaka unaukana uanaume wako? Mambo hayo yamekatazwa sana na mtume Paulo; rudi kwa Mungu wako

Chama
Gongo la mboto DSM
cc: Ritz; Matola
 
Mama yako huwa tunakutana kwenye vikao vyetu na huwa anasema bila kificho ulianza kuchapwa nao ukiwa na umri wa miaka 10 sasa nafikiri umeshakubuhu
 
Mimi mwanamke lazima niwe na bwana Kinachonishangaza ni wewe mtoto wa kiume kugombania mabwana na sisi ndio maana nimekuambia USA walikuwa wanakuchapa nao

Mbona ueleweki wewe majuzi ulisema humu jamvini kuwa mwaname leo tena umebadilika...

Mkuu chama, mambo ya Gene Robinson hayo wanaume kama mabinti, achana naye huyo.
 
Last edited by a moderator:
Nakala ilikokwenda ndio washiriki wkao wakuu kumchafua zitto,But the man is smart.
Yote ulioandika hapa ni tamthiliya zile zile mlizotunga nyie na kundi lenu la CDK

Assuming ni kweli unayoyasema, ina maana na wewe Taswira na unashiriki kumchafua Zitto? Ina maana tumetunga sisi kuhusu matunguli na kuuwana kwa panya? Hivi aliyetunga kati ya Saanane na Mwampamba, Shonza na Mchange ni nani? Kwamba mtu atakuwa na unga mwekundu, amelewa chakari, halafu na ulevi wake mtoke naye Mtaa wa Mzee wa Upako, Mpaka Relini na akiri kuwa ile ni sumu alitaka kumwua mtu ambaye kwenu ni ROLE MODEL. Hivi mlishindwa kumpeleka kale kakituo kadogo ka Polisi pale Relini Mkabala na Mwananchi? Au pale Buguruni kwa kuwa mlikuwa mnaelekea? Au Chang'ombe, maana Saanane alikuja huko kuufuata unga wake? Unga ambao pale Msimbazi jengoni kwa watani zetu unauzwa mapaka kwa promosheni?

LIARS SHOULD HAVE GOOD MEMORIES!
 
Zitto yuko fit,huwezi mlinganisha na waliokimbia shule akina mbowe,dogo anajua kujenga hoja! Na hata akisimama bungeni kila mtu huwa makini kumsikiliza!

Mwenyewe namkubali zito ila ni nyoka mwene ndimi mbili..afu izi abari za kishirikina zimempunguzia kalisma.
 
Mama yako huwa tunakutana kwenye vikao vyetu na huwa anasema bila kificho ulianza kuchapwa nao ukiwa na umri wa miaka 10 sasa nafikiri umeshakubuhu

Mama yangu kikao anafanya na baba yangu; hajawahi hata siku moja kujiweka na karibu na mtu shoga; ulikuwa kijana altare kanisa gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mbona ueleweki wewe majuzi ulisema humu jamvini kuwa mwaname leo tena umebadilika...

Mkuu chama, mambo ya Gene Robinson hayo wanaume kama mabinti, achana naye huyo.

Kijana wa altare huyooo

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom