Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Mwanaume yeyote anayezungumzia mambo ya 6*6 kumhusu mwanaume mwenzake huyo ana matatizo na anahitaji msaada wa haraka. chama usione aibu kuomba msaada kwakuwa inaonekana wewe ni mdhaifu downstairs kwahiyo unawaonea wivu wenzako wanaoliungurumisha. Na mwanaume anayekubali mkewe kukwapuliwa naye ni mwanaume "suruali" kama wasemavyo vijana wa mjini, time yeyote naye anaweza kukwapuliwa.

Mkuu Mwita Maranya
Na wewe unataka kuwa kama wale vijana wanaofadhiliwa na wanaume wenzao hapo mjini? Sikujua kama unatoa misaada midogomidogo kama hiyo; Mkuu rudi tena kwenye maandiko matakatifu mtakatifu Paulo ameyakemea sana mambo hayo; starehe ninayoipata kwa mwanamke inanitosha sana.

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Chama wa Gongo la mboto, nakuheshimu na kuthamini mawazo yako binafsi hata kama siyaafiki, huna sababu yoyote ya kunidharirisha kisa tofauti ya mitazamo yetu. Naamini huo sio utamaduni wa kisomi.

Mkuu Gwalihenzi
Sikuwa na maana ya wewe unafadhaliwa hapo mjini mambo hayo ni ya vijana watanashati kina B8

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SEBM
Bado ugeni wako unanipa mashaka; 2006 mpaka sasa hivi sio mgeni tena bado kuna kitendawili kikubwa sana na ujio wako JF; sikubaliani nalo hata kidogo; mgeni gani hata choo huliizi kipo wapi; kona zote ndani ya nyumba unazijua kuwazidi hata wapangaji; mkuu endelea kufunguka zaidi! Nipo Gongs mkuu

Chama
Gongo la mboto DSM

Mkuu wangu chama,

Nadhani haujaelewa logic ya maandiko yangu. Nilikuwa (and still i am) very clear kwamba, tangu miaka hiyo niliyoitaja, nilikuwa Jambo na DHW/DHB kama msomaji tu; na wala sikuwa member hadi majuzi (March 2012) nilipoachakuwa guest na kuwa member.

Miaka 6 ya kusoma na kuona ya JF ni mingi sana. Sina jipya la kulisikia kutoka kwa Waberoya, Malaria Sugu na wahafidhina wengine kwa kuwa nimekuwa nikiwasoma tangu enzi.

Wlau hapa utakuwa umenisoma kidogo.
Halafu Mkuu wangu, unaandika 02am ukidhani wengine tunakesha humu? Kwa tofauti yetu ya masaa, unakuwa unanitesa sana.

1. Kuna jirani yako pale Gombs anaumwa; uliwasiliana naye na kumpa pole?
2. Mjadala/Mdahalo wa Jumatano saa mbili usiku utakuwepo?

Wasalaam,
 
Last edited by a moderator:
Mkuu wangu chama,

Nadhani haujaelewa logic ya maandiko yangu. Nilikuwa (and still i am) very clear kwamba, tangu miaka hiyo niliyoitaja, nilikuwa Jambo na DHW/DHB kama msomaji tu; na wala sikuwa member hadi majuzi (March 2012) nilipoachakuwa guest na kuwa member.

Miaka 6 ya kusoma na kuona ya JF ni mingi sana. Sina jipya la kulisikia kutoka kwa Waberoya, Malaria Sugu na wahafidhina wengine kwa kuwa nimekuwa nikiwasoma tangu enzi.

Wlau hapa utakuwa umenisoma kidogo.
Halafu Mkuu wangu, unaandika 02am ukidhani wengine tunakesha humu? Kwa tofauti yetu ya masaa, unakuwa unanitesa sana.

1. Kuna jirani yako pale Gombs anaumwa; uliwasiliana naye na kumpa pole?
2. Mjadala/Mdahalo wa Jumatano saa mbili usiku utakuwepo?

Wasalaam,

Hadithi yako ni sawa mashairi ya Shaaban Robert; bado hujanihabarisha kwenye hilo; nitakubali tu kufupisha mjadala ila ndani ya nafsi yangu; hizo ni fix tu mkuu ni PM nijue ID yako wewe mkongwe ndani ya jamvi si tu ulikuwa unasoma kama guest bali ni mchangiaji mkubwa; majirani wagonjwa wapo wengi yupi unamuongelea nimtilie dua apate ahaueni: mjadala j5 saa ngapi kwa saa za Tanzania?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Misemo ya jembe ni kishamba na imepitwa na wakati. Huyu kijana kachezea nafasi yake kwa ulevi tu wa madaraka. Hafai kabisa. Halafu nafurahi sana jinsi ambavo hachukuliwi hatua maana hii inamkosesha usingizi akisubiri nini kitatokea kama mtu aliyefumaniwa na asisemeshe chochote.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Tupo pamoja mkuu. Zitto ni zaidi yawanavyo mfikiria na ndie Rais ajae watake wasitake....
 
starehe ninayoipata kwa mwanamke inanitosha sana.
Chama
Gongo la mboto DSM

Sasa chama kama kweli mke wako anakupa starehe inayokutosha, yanini kushupaza shingo kuzungumzia starehe wanazopewa wanaume wenzako na wake zao?
 
Last edited by a moderator:
kaka ni kweli kabisa! nakupa tano Zitto ni jembe!
 
Huo mdomo ndio unaolia na chakula? Penye ukweli watu watasema, hakuna anayesema Zito hajui kujenga hoja, suala la msingi ni hizi element za kiusaliti zinazoaanza kumuhusisha yeye. Pia unafanya makosa makubwa kuwadharau au kuwaita waropokaji Mbilinyi, Mnyika, Msigwa!!!!!!!!!!!!! Au wewe ndiye msemaji wa Zitto au ndio mropokaji namba moja? Tujadili ualisia wa jambo badala ya kukurupuka na kukimbia hoja za msingi
  1. Jembe sio lazima lilime
  2. Likilima sio lazima lipande mbegu
  3. Likipanda sio lazima mbegu ziote
  4. Zikiota sio lazima zisitawi
  5. Zikisitawi sio lazima zizae matunda
  6. Zikizaa matunda sio lazima yawe matunda bora
Sisi tunata jembe litakalo sabababisha uzao wa matunda bora na sio matunda yasiyofaha kuliwa kama yakina


  • Mchange
  • Mwampamba
  • Shonza
  • Gwakisa
  • Festo Sanga
  • :majani7:
 
Mkuu wangu chama,
Punguza mapovu. Punguza mihemko. Hapa tunajadiliana kwa hoja. Kuna usemi unasema, " ... na asiye na dhambi, awe wa kwanza kumtupia jiwe mama huyu.." Unajua tafsiri na maana ya maneno haya?

Usitake tukaanza kujadili maisha binafsi ya watu. Wewe una maisha yako binafsi. Katibu Mkuu na Naibu wake wana maisha yao binafsi pia. Unakumbuka ile habari ya " wale wana ndoa wawili (Mungu awarehemu) na ile tuhuma iliyopelekea viapo vya kula kondoo kutokana na kutuhumiana kusaliti ndoa?"..

Nakuomba tusifike huko

Nakala Taswira, Mungi, Mingoi, PhD
Zitto ni mshirikina mkubwa,chadema wanajua hilo na hata CCM pia wanamwogopa kwa ushirikina,na inasemekana ndiye aliyemroga akapata ajali mzee mudhihiri baada ya ule ugomvi wao bungeni,na mkono aliomnyooshea zitto ndio huohuo uliokatwa,any way haya nimeyasikia CCM wenyewe wakisema sababu za kumwogopa kwao,sasa akiiingia ikulu si atakuwa anaturudisha kulekule kwa shekhe Yahaya.
 
Sasa chama kama kweli mke wako anakupa starehe inayokutosha, yanini kushupaza shingo kuzungumzia starehe wanazopewa wanaume wenzako na wake zao?

Mkuu Mwita Maranya
Babu alioa au anaishi na kimada? hebu nikumbushe ndoa ilifungwa kanisa gani?

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
hana confidence mbona kaogopa kutaja walioficha pesa nje ya nchi?mimi namwona mtu anayeyejitafutia sifa kupitia migongo ya watu.
jembe kwa wale wajinga na siyo kwa watu makini tunaofuatilia siasa uchwala za nchi hii.ushabiki utawapeleka pabaya.
 
Hakika nyie wachaga endeleeni kumchafua zzk lakini watanzania tuliowengi tunafahamu uwezo wake na Mungu ata muinua
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom