Mtake msitake Zitto ni jembe

Mtake msitake Zitto ni jembe

Status
Not open for further replies.
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe![/QUOTE

wewe ulichokiandika ni u-t-u-m-b-o, how come to call mnyika, wenje eti ni waropokaji! zitto lazima ajitokeze bayana kabisa na kukemea hawa wapuuzi wanaokashifu wengine eti kwa mwamvuli wa kumtetea zitto, i'm not doubt that zitto need not these foolish campaign the problem is why not come out and speak loudly that these are the foolish and they want to destroy your image before the public? kama huu ndo mpango na mkakati wa kuingia ikulu then you have already failed! huwezi kwenda ikulu kwa kuwatusi na kuwachafua wengine, its absolutely not acceptable!
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Kama mnamsapoti si muende naye huko CHAUMA sasa huku kwa wachaga mnataka na nyie muwe wachaga. Yaani masalia mnashida sana. Ikumbukwe sera ya ukigagula CDM haipo na ieleweke Mungu yuko kazini
 
Jamani Posts za zito zinanikera!Bora tuongelee mengine.
 
lazima CDK hawatakuelewa wewe....utaitwa masalia sasa hivi, chezea CDK wewe.
 
Kama mnamsapoti si muende naye huko CHAUMA sasa huku kwa wachaga mnataka na nyie muwe wachaga. Yaani masalia mnashida sana. Ikumbukwe sera ya ukigagula CDM haipo na ieleweke Mungu yuko kazini

are you first lady ama?..
 
Kamanda Pilitoni,

People's.....

Kwa kweli unatumia nguvu kubwa sana kumsafisha Mh. ZZK. Lakini msiba wa kujitakia, hauna kilio.

Mh huyu amekuwa chanzo cha anguko lake mwenyewe. Kwa kuwaruhusu watu kama wewe kumtetea, kumsafisha na kumsifia. Baadhi ya makosa yake ni haya hapa chini:

1. Mwaka 2009/2010 wakati anaandikwa na gazeti la Mwananchi kila uchao huku akisifiwa kuwa "anatembea na barua ya kujiuzulu kwenye mkoba", aliona hiyo ni sifa kubwa sana. Akavimba kichwa.

2. Mwaka huu, kulijitokeza kundi la watu waliokuwa wanatumia jina la TUNTEMEKE kushambulia viongozi wakuu wa Chama, hususan Dkt. Slaa. Hawa walikuja na shutuma nyingi ikiwemo ya kuondolewa kwa Mhasibu wa Chama, Malipo ya Dkt Slaa wakati wa kuhudhuria kesi, Mkopo wa Nyumba, Kulipwa posho kwa Heche, Josephine na akaunti package, uchaguzi wa Iringa uliomuweka Chiku Abwao madarakani, John Mrema na feasibility study Arumeru n.k. Hawa wote walionekana dhahiri kupingana na watu maalum kwenye chama. Wakafikia hatua ya kumkejeli na kumtukana Dkt Slaa, personally and specifically hapa JF na Facebook. Kosa alilolifanya Zitto ni walau kukemea hali hiyo. Alishindwa kuandika hata mstari mmoja kukaripia hali hiyo na dhihaka hizo!

3. Alipopewa tuhuma na Saanane na Mamuya, badala ya kujibu hoja, aliandika kwa hasira, kihuni na kosa kubwa alilolifanya ni kuzungumza wazi wazi Imani ya kishirikina. Maneno kama kuaga kwetu, panya kutokusalimika n.k. hayakuwa maneno ya kuzungumzwa na ROLE MODEL ambaye ni RAIS MTARAJIWA.

4. Baada ya sekeseke la 18/12/2012 na kuendelea, wakajitokeza watu wengi JF ambao wao wakawa wanamtetea Zitto. Kuna Taswira ambaye alikuwa anakesha JF na kujibu kila post. Wakajitokeza watuhumiwa ambao walijiunga usiku wa manane wa tarehe 19/12/2012. Hawa wakaibuka na kumtetea Zitto wazi wazi kwa kuelezea kuwa ni kiongozi shupavu, ni role model na wakaenda mbali zaidi kuanza kumsema kwa dhihaka Katibu Mkuu - Dkt. Slaa. Slaa hakuhusika au hakutajwa popote kwenye PM 7. Why Shonza aliamua kumtaja bila hata sababu? Hawa wakamuharibia zaidi Zitto.

5. Tangu 18/12/2012, kumekuwepo posts nyingi - kama hii yako - zote zikiwa na lengo la kumsafisha Zitto. Bahati mbaya, hasafishiki kwa kuwa alijichafua mwenyewe.

6. Zitto amekuwa akitoa matamshi ya kibaguzi na kichochezi. Kila mara amekuwa akirejea maneno ya ukabila na ukanda. Lakini majuzi ameeleza maneno mengine mazito. Maneno ambayo si wote waliyaelewa. Alijitetea (nadhani ni wakati aidha anamjibu Nyerere au Mamuya), kuwa yeye ni mwaminifu kwa CHADEMA na kuwa yeye ameitumikiwa CHADEMA maisha yake yote na amekuwa mwaminifu. Kwa kuwa tunajua na kuamini kuwa yeye hakuwahi kuwa chama kingine chochote cha siasa zaidi ya CHADEMA, basi anamaanisha kuwa yeye ni bora kuliko 'viongozi wenzake ambao walikuwa CCM huko nyuma na sasa wako CCM; tena viongozi wenyewe wana kadi mbili"(si uanachama wa vyama viwili. Hapana. Kadi mbili!)". Hili ni kosa jingine kubwa alilolifanya Zitto.

7. Kosa jingine la Zitto ni kutokushiriki kabisa kwa uwazi (labda kwa kificho) kwenye M4C. Kila alipokuwa anaulizwa, alikuwa anasema kuwa anakuwa anakiimarisha Chama kwa njia nyingine. Kampeni za Udiwani Songea au Mwanza. Lakini kweli hata kutokea kwenye harambee moja tu? Naibu Katibu Mkuu? Waziri Kivuli wa Fedha na Uchumi? Naibu KUB?

Makosa ni mengi, walau kwa usiku huu tunapokula kuku mnafu hapa Makao Mapya, halafu tukale na Smaki Nick's Pub kushangilia NURU kuishinda GIZA, tuyatazame makosa haya.

Msiba wa kujitakia, hauna kilio.

Nakala Taswira, PhD, Mungi, [MENTION]Ecolli[/MENTION], Rejao, chama, Mungi
 
Last edited by a moderator:
Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini!
Ni kweli katika hili mimi ninamkubali, si mnakumbuka namna ilivyoelezwa alivyosimamia PM7 kwenda kwa waganga wa imani anayoaiamini kula viapo vya uaminifu! Na pia namna alivyokiri mwenyewe kuwa ameoga dawa (nimeaga kwetu)!
Jamaa ni kweli anasimamia anachokiamini
(matunguri).
 
Mkuu SEBM povu la hatari limekutoka, hata sijaweza kusoma mpaka mwisho, lakini Zitto hajiuzulu ng'o kwa mapovu yenu, na ubavu wa kumtimua hamna. Mtajuta kumkuta ndani ya chama. Mpaka mtanyooka
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SEBM povu la hatari limekutoka, hata sijaweza kusoma mpaka mwisho, lakini Zitto hajiuzulu ng'o kwa mapovu yenu, na ubavu wa kumtimua hamna. Mtajuta kumkuta ndani ya chama. Mpaka mtanyooka

Kamanda nice 2,

Kuna mtu kamwambia ROLE MODEL wenu ajiuzulu? Haya alikuwa anayasema yeye kwa kuvimbishwa kichwa na Msacky na Semtawa. Kunyooka? Kama ukoo mzima na majirani wananyooka na panya, sembuse mimi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu SEBM povu la hatari limekutoka, hata sijaweza kusoma mpaka mwisho, lakini Zitto hajiuzulu ng'o kwa mapovu yenu, na ubavu wa kumtimua hamna. Mtajuta kumkuta ndani ya chama. Mpaka mtanyooka

Hata kama hautang'oka ama Chama hakina uwezo wa kukutimua lakini utambue kwamba wewe ni msaliti na kamwe huwezi kuwa raisi wa Tanzania kwa tiketi ya Chadema, labda huko chauma, Adc ama ccm.
Vilevile ni vizuri utambue kwamba wewe ndiye utakayenyooka na si mtu mwingine yeyote.
 
Last edited by a moderator:
mkuu naomba comment zako kwenye hili,hivi unadhani kama issue ya kadi mbili ingempata Zitto ingekuwa handodi kama ilivyokuwa kwa Slaa?

handodi= "handled". - Jamani mkiamua kuandika kiswahili muandike kiswahili tuuu.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!
Hayo ni mawazo yako na hakuna atakayeweza kuyapinga ila elewa USALITI ndani ya chama chetu haukubaliki na vyovyote itakavyokuwa akiendeleza huo upuuzi wake kama wa kwako basi mwakani itambidi ahamie Magamba hatutaki mtu ndumi la kuwili linalopenda kula huku na huku au kupenda utajiri wa haraka haraka.Nakushangaa pia unaposema upo nyuma yake,Nakuuliza unafanya nini nyuma ya mwanaume mwenzio? huo ni ujinga fanya hima uondoke nyuma yake,usitake kuremba yasiyorembeka kijana na wewe utakuwa mpuuzi tu kama yeye.
 
Hili liko wazi kabisa kuwa mheshimiwa zitto zuberi kabwe ni jembe! Zitto ni mahiri kwa kujenga hoja na kusimamia anachokiamini tofauti na waropokaji akina wenje,jmnyika,msigwa,nassari,mbilinyi nk.Wimbi linalozidi kumwandama zitto ni kutokana na uroho wa baadhi ya viongozi wa juu wa chadema ambao wanaona kuwa zitto ni tishio kwao,wanatumia kila njia kummaliza zitto,hawawezi! Watz tunatambua umuhimu wa zitto,tuko nyuma yake na tuko tayari kupambana na dhuluma yoyote dhidi yake. Kinachomponza zitto ni umahiri wake na kingine zitto siyo MCHAGA wala si mkaskazini kama sera iliyonyuma ya pazia ya chadema inavyoelekeza. Kuna watu wanaotumiwa kumchafua zitto,zitto anatakiwa atambue kuwa kuna kundi kubwa sana linalomsupport kuliko hata hawa vikaragosi,wapuuze na endeleza mapambano dhidi ya huu udhalimu wa wachache! Sisi huku mkoa wa mara tunakukubali sana na tutaendesha kampeni kanda ya ziwa yote dhidi ya huu uonevu,wewe ni jembe!

Na mwisho waelewe JF ni kiwakilishi kidogo sana cha Umma wa Watanzania
 
Kuhusu Zito pia Kamanda umenikumbusha ki2,nakumbuka hata wakati wa2 wa A town tunawakumbuka mashujaa wetu waliopigwa risasi hapa hapa nmc zitto hakuwepo hiyo inamaanisha nn? Huyu ni mpuuzi tu na hana maana kwenye chama chetu,hiyo nafasi bora akapewa mtu mwingine ambaye atawajibika bara bara
 
Kama ni jembe kwanini usimshauri awaachie unaowaita majina kibao chama chao????????????? Ya nini kupata taabu wakati jembe linajiamini. lkn kama unavyomwona ni kwa kuwa yupo CHADEMA na kama kweli unampenda Zitto mshauri ashikamane na viongozi wenzake. Na wewe uache fikra kinyu. Yaani wewe uwaze uozo halafu uwasingizie wenzio hiyo ni aibu kwako!!!!!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom