mtaji wa milion 1 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mtaji wa milion 1

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by niwaellyester1, Mar 9, 2011.

 1. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #1
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  cjawahi kufanya hata biashara ya kuuza pipi wapendwa, naomba mnishauri kwa hili , nina mtaji wa milion moja, naomba mnishauri nifanye biashara gani? mwanzo nilipanga kununulia cm kali, subufa, friji, na vitu vingine vya ndani, ila nimeona cio issue bora nifanyie biashara bt ndio hvyo cjajua nifanyie biashara gani?
  NB: me bado ni dependent kwa wazazi wangu, am 22yrs old, niko chuo, hizi ela ni za mkopo, niliombaga bodi wakanizingingua ckupata ndio nimezifatilia bodi kwenyewe mpk zimekuja za awamu za mwaka huu zote kwa pamoja
   
 2. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #2
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Samahani, eti upo chuo gani kaka..!? Ninashida ya kuonana na wewe..!!
   
 3. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #3
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Usikonde ndugu yangu. Hauhitaji kuzitumia zote. Wasiliana nami ili nikupeleke sehemu mwendo wa masaa matatu. Utakodi ekari 2 kila ekari moja utatumia laki 3 zikiwa ni gharama za kukodi shamba, kununua mbegu, kupandikiza mpunga, kulinda na kuvuna magunia 40 ya mpunga baada ya miezi mitatu na yatakupatia shilingi milioni 2.

  Utaendelea na shule kwani unaweza kwenda shamba mara moja kila mwezi. Utasimamiwe kwa gharama hiyo hiyo ya laki sita kwa ekari mbili.

  Ni kilimo cha umwagiliaji. Kwa uhakika utavuna na umetajirika kwani utaendelea kulima maishani.
   
 4. k

  kibananhukhu JF-Expert Member

  #4
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 368
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Nimefikiria kuwa upo dar, na kila ekari moja itakupatia milioni 2 baada ya kuuza na kutoa gharama zote,
   
 5. kipipili

  kipipili JF-Expert Member

  #5
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 1,499
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  acha uongo wapi huko
   
 6. Mtanganyika

  Mtanganyika JF-Expert Member

  #6
  Mar 9, 2011
  Joined: Jul 18, 2007
  Messages: 1,613
  Likes Received: 280
  Trophy Points: 180
  Mdogo wangu kwanza nikupe hongera kwa kuwa na akili ya kazi. Kuona kwamba expenses sio sawa na asset.

  Pili nikwambie kwamba usiwasikilize wanaokupa adisi za kwenda kuspend 60% ya capital yako kwenye expense moja katika business operational yako.

  Ushauri wangu sababu bado upo shule, zunguka kwenye mabank mbali mbali angalia interest rate kwenye fixed deposit accounts. Kisha tulushie hizo rate hapa nitakuchambulia wapi ni bora. Weka hiyo pesa kwenye fixed deposit kwa muda wote ambao upo shule, maliza shule hiyo fedha itakuwa imepata atleast 15% return. Then baada ya hapo twende kazi unaweza kuangalia wapi uwekeze.

  Mwisho kumbuka unaweza 100% debt (sababu ni mkopo) na debt to equity ratio ni kwamba kwenye kila shilingi unayotaka kuwekeza umekopa shillingi nzima...
   
 7. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #7
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Mtanganyika, banks zina interest ndogo sana, Crdb ndo kabisaa
  Niliwahi kuzunguka kipindi fulani.
  Nafikiri hata akisema aweke fixed deposit hadi akija kuchukua ile pesa yote atakayopata itakuwa ndio thamani ya pesa kwa kipindi hicho.
  Binafsi nafikiri interest rate ipo ili imcopasate mtu kutokana na thamani ya pesa inavyoshuka na sio imbenefit otherwise kama unaweka mahela mengi. (mnaweza kunisahihisha).
   
 8. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #8
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  SAUT mwanza
   
 9. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #9
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ni wapi huko mkubwa? huko shambani kwenyewe? ni mkoa gani ? wapi
   
 10. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #10
  Mar 9, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ila kwa mikopo ya chuo ina muda mrefu sana wa kuilipa pole pole sn so cjawaza kuusu kulipa, kuusu suala la kufungua fixed account nililifikilia pia, ila me nilivyo mh!!! nitaenda kuzitoa tuu hizo nitumie vitu vya kijinga
   
 11. Chitemo

  Chitemo JF-Expert Member

  #11
  Mar 9, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,293
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kama vp nenda hapo Salmacone agiza pizza na mabaga ule mpaka meno yaote kutu. Halafu wkend tuonane Stone au Villa Park pale kwenye vt vrefu tufanye kufuru ya maj matakatfu na hako ka m1.
   
 12. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #12
  Mar 9, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  wewe ni mtu wangu wa kwanza kukuandikia
  CRAP!
   
 13. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #13
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  me huwa sinywi wala wala cjawahi wala cpendi kwenda villa wala stone, labda unambie mambo ya baga, piza, ice cream ndio napenda sn
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  ni ngumu kumanage biashara na masomo kwa wakati mmoja.
  Biashara nayo inahitaji uangalizi wa makini.
  Mimi niliwahi kuwa na duka la nguo nikamwachia ndugu yangu ambaye nilimuamini.
  Sasahv imebaki historia.
  Nakushauri uende maeneo ya chanika au kibamba ndani ndani ukanunue ardhi.
  Hadi ukija kumaliza chuo hata ukitaka kuiuza utaiuza kwa faida maana ardhi value yake inapanda kila siku.
  Au unaweza ukanunua printer na computer ukawa unatype kazi za watu hapo chuo.
   
 15. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #15
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  kwa stationary hapana coz kila mahali zimejazana, hilo la ardhi cjui nimshirikishe mama? coz cjamuambia mtu
   
 16. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Ni wazo zuri. Ikiwa utapata ardhi yenye thamani hiyo changamkia haraka. Kitu hupaswi kufanya kwa sasa ni kuanzisha biashara ambayo itakubidi ugawe wakati wako baina ya masomo na biashara. Na sula la kumwamini mtu asimamie.... ni sawa na kutia mkono gizani.

  Ikiwa huna kabisa la kufanya weka kwenye Fixed Account deposit, huko hutaweza kutoa hata senti mpaka muda ufike.
  Uamuzi wowote utaochukua, ninakutakia kila la heri.
   
 17. N

  Nyumbu- JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 969
  Likes Received: 121
  Trophy Points: 60
  Kama uko serious, naomba pia ushauri....mie hobby yangu ni kilimo, ila sipendi kilimo cha kutegemea mvua. ni wapi mashamba hayo yanapatikana?
   
 18. n

  niwaellyester1 Senior Member

  #18
  Mar 10, 2011
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  nitajarbu kufanya hii kitu soon
   
 19. M

  Malila JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2011
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Nipe nikuwekee mahali pazuri,ukimaliza chuo nitakupa milioni tatu.
   
 20. KIMICHIO

  KIMICHIO JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 1,184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  i think akili zako ziko makalioni kama siyo unatumia lile jani?take another crap from me.
   
Loading...