Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,469
- 17,581
We tafuta ofisi zao huko nenda watakupa info zote ushauri ni bureHuko kuna nini mkuu?
We tafuta ofisi zao huko nenda watakupa info zote ushauri ni bureHuko kuna nini mkuu?
Heading wamebadilisha hawa mod. Kichwa kilikuwa tofauti kabisa mkuuHeading inasema wazo la biashara kwa wenye 1m. Harafu uzi mrefu brah brah tupu unapoona wanaomba msaada it mean wameshindwa sasa unawarudisha uko
Binafsi nimekerwa na uzi wako.
Ha ha hahapa lazima upigwe na kitu kizito
Huwa Wanazingua Moderators,Kuna siku Nimeandika uzi Mzuri wakauunganisha Na mwingine.Heading wamebadilisha hawa mod. Kichwa kilikuwa tofauti kabisa mkuu
Iyo ela yote utamaliza kwenye kodi tu na frameWakuu, mimi nina mtaji wa 4 millions (Million nne). Kwa sasa nipo Mwanza lakini nilikua na mpango wa kwenda Dar kuanza kujitafta rasmi kwaajiri ya maisha yangu, na nina lengo la kufanya biashara ya duka la nguo za kike na kiume huko Dar,
Dar nina connection na wenyeji wangu wanafanya hii biashara kwenye soko la Kaliakoo lakini mimi nlkua nataka hii biashara niifanyie Tabata au Sinza, sehemu hizo mbili, moja wapo frame nzuri ya biashara ikipatikana ntaenda kufungua duka hilo.
Je malengo yangu yako sawa, naombeni ushauri wenu wana JF, kuhusu familia mim nipo single sina mke wala mtoto, na nikifika Dar ntapanga chumba cha kuishi.
Naombeni ushauri kwa wale wenyeji wa Tabata na Sinza.