Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Namkumbuka sana mwl munis wa shule ya msingi msitu wa tembo huyu mwalimu bhna alikuwa akiingia anataka asalimiwe kwa table ya 2-12..unaanza kuimba weeee mpka inaisha.yapata miaka zaidi ya kumi na mbili sasa hizo hesabu zake za table hazijawahi kunitoka hata kwa bahati mbaya..[emoji16][emoji16]huwa namkumbuka hadi nguo alizokuwa anapendelea kuzivaa,style anayoingia nayo,angle aliyokuwa anapendelea kukaa,aina fimbo aliyokuwa anatuchapia tukikosea.hahaha its very funny aisee.nakukumbuka mwl wangu n u know that.miaka mingi nakuombea.kama utausoma huu ujumbe..nakukumbusha tena mwl lzima nitarudi kusema asante kwa mara nyingine nakuahidi na namuomba Mungu anisaidie.ulinijengea msingi mzuri mno wa hesabu tangu darsa lanne na wew ndo uliyenifanya mimi kuipenda hesabu.ninashuku sana ninaipenda hesabu na yenyewe inanipenda mpka sasa.shukran mwl Munis
Unamuombea mwalimu aliyekuwa anakuchapa? Hadi hujasahau fimbo yake? Mmh
 
Mi nimepita juz juz kuna dogo alikua na msala kuna second master anaitwa rwelengera alimtimua so nilikua nimeenda kuweka mambo sawa
mpe pole dogo kwa msala na hongera kwa kwenda kwa mara nyingine sehemu uliyosomea. nadhani ulionana na mkuu wa pale wa sasa, anaitwa Kahema. jamaa kapanda hewani sana. yule ni jamaa yangu.
 
mpe pole dogo kwa msala na hongera kwa kwenda kwa mara nyingine sehemu uliyosomea. nadhani ulionana na mkuu wa pale wa sasa, anaitwa Kahema. jamaa kapanda hewani sana. yule ni jamaa yangu.
Good uyo MKUU wa sasa anaitwa kahema ana Prado fulan iv sio
 
John fabiani temba,shule ya msingi yamu. mwalimu mkuu kipindi hicho. mengi ya kusema juu yake yapo lakini asante ndio litakua neno la mwisho kwake.
 
Mwalimu Chahe wa Yeshua sec. Bio & chem. Sitamsahau alifanya nifanye vyema PC ya CSEE.
 
,
47db559baf4fba3100e9352010216c0d.jpg
pemben naona yuko na kanali mkisi
 
Mliobarikiwa kuwa na waalimu wenu hai waliowafikisha Mligo vizuri kitaaluma nendeni mkawatembelee kama nafasi itaruhusu. Wa kwangu aliyenifikisha nilipo nilikuwa ninamwandikia barua na kumuwekea hela kidogo. Alipotangulia Mbele ya haki nikishiriki kikamilifu. Upumzike kwa Amani baba na mwalimu wangu. Alinipenda sana na kunitia moyo mpaka nikavunja record ya ufaulu darasa la saba na kuendelea kuvunja record mpaka chuo kikuu. Sitakaa nikusahau mwalimu wangu.
 
Mwl ester moshi huyu mama ndie aliyetengeneza msingi wa maisha yangu pale mbahe pr school moshi mwaka tisini na moja nikiwa darasa la kwanza kanifundisha kuumba herufi ,kuhesabu, mungu akupe maisha marefu nikija kijiji nitakitembele japo na kazawadi umenitoa mbali sana hao waalimu wengine walikua wananielewesha tu lakini Wewe umenifundisha kushika kalamu
 
Mi walimu walionifundisha tangu chekechea mpaka chuo nawakumbuka lakini hamna hata mmoja ambaye Nina historia nae nabaki kuwakumbuka na kutambua mchango wao walotangulia mbele ya haki walale pema peponi
 
Nawakumbuka sana walimu wa shule ya msingi kashasha
Bukoba sec school
Magufuli high school
 
Back
Top Bottom