Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

Mwal kulwa john chemistry pale Moro forest hill
Otto physics

Madam haule civics
Mwal John mlimwa pr school Dodoma
Mwl
 
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.

Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?

Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Namkumbuka sana Mwl. Mathias Ntalika ... Amani kwako popote ulipo ... tense zako zimeniwezesha mporipori mimi leo hii naweza kuomba maji ya kunywa ulaya ...

Nimeweza hata kuweka jiko langu la mkaa nawauzia mahindi ya kuchoma wazungu ... God Bless U!!!

Pia salam kwao Mwl. Ernest Msigalo (Ticha Bigi) Mwl. J. Mambo ... Mwl. Siwale Mwl. Monday

Bila ya Kusahau Mlm Kajuti pumzika kwa amani ...

Zaidi ya yote kwa nafasi ya pekee kabisa katika waalimu wote ni Mwl. Neema (Bibi Neema) Pumzika kwa Amani Bibi yangu naamini bila ya wewe pengine nisengekua naandi ujumbe huu sasa hivi
 
Ngoja niwafungue macho kidogo

Nyuzi kama hizi sio nzuri kuchangia hasa kwa wale wasiopenda kujulikana

Mfano mtu atanzisha uzi akitaka utaje shule yako ya msingi na mwalimu uliyekuwa haumpendi au unampenda na wewe bila hiyana unataja


Kesho atakuja shule uliyosoma sekondari na walimu uliowapenda na usiowapenda na wewe tena unafunguka na unaenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya rafiki zako ambao walikuwa kampani yako.


Sasa kimbembe kinakuja ukiwa unatafutwa hawatapata shida kukupata kwa kuwa watakuwa washajua wanaanzia wapi kwa kuwa ushawaambia uliposoma shule ya msingi na mwaka uliohitimu na kujiunga shule ya sekondari ubaya zaidi unakuja pale inapotokea hiyo shule ya sekondari uliyoitaja ulichaguliwa peke yako hivyo basi moja kwa moja utakuwa ushajitia kitanzi


So ushauri wangu kwa nyie msiotaka kujulikana nyuzi kama hizi ni za kukaa nazo mbali na usitoe informations zako za kweli kwa 100% utakuja juta huko mbeleni
Wasiotaka kujulikana na wanapenda kuchangia, wameandika majina ya walimu wao kama Bashite,Magufuri na JK Nyerere..............

Wengine wanaishia kujisomea tu,so dont worry people know what they are doing.
 
Nilipokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Handsome mara extra tuition..............so wonderful my princess!
 
Ngawipa ticha wa phys pale kikaro sec na mr and mrs mgaya wa marian girls tuition ticha wangu wa math n' phys

5 & 6 cjaona wa maana

Prof LUHANGA pale UDSM dah mzee wa analog electronics na information tech....

Nimewamc sanaq
 
Namkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.
[emoji23] [emoji23]
 
Heko kwa mwl. Sokoni, nikiwa s/msingi na my best teacher in sec. school. Mrs. Sayayi, huyu nilimpenda kwa style yake akiwa class, hutachoka kumsikiliza.
Wote ni walimu wa english
 
mimi namkuumbuka mwalimu wangu, mwalimu Magufuli, pale Sengerema Secondary miaka ya 1980s. ktk mwalimu wote, ni yeye tu ndio hakua mzalendo. alikua na dharau, chuki na hasira kwa wanafunzi na hata kwa walimu wenzake. kutokana na dharau, chuki na hasira zake kwa walimu wote pale SESESCO, aliishi pale kwa mwaka mmoja tu.
Mwalim ngeni a.k.a mnyigo English pale sengerema (sesesco)alikua vzr namiss sana bweni la kimweri room six ground
 
Back
Top Bottom