Boizia huyoooo!!! Umenikumbusha ruti za Kariakoo [emoji23][emoji23][emoji23]Mwl mchome-Tabora boys
Biology
katamba advance makongo kanizengua sana yule ticha
Wakuu, ninaamini kila mtu amewahi kuhudhuria shule kwa njia moja au nyingine na kila mtu hapa amefundishwa na Mwalimu katika ngazi mbalimbali...kuanzia msingi, Sekondari mpaka Chuo.
Ni mwalimu yupi alikuwa msaada sana kwako hadi umefika hapo ulipo?
Mtaje na ni vyema ukasema na shule aliyokufundisha.
Amen!!Hao Kwangu Mimi ndiyo Heroes wangu na niseme tu akhsante sana Kwao japo nawapa pole kwani kwa aina ya Utundu wangu kwakweli niliwasumbua mno ila hawakuchoka kuninyoosha na sasa nimekuwa Mtu katika Watu japo pia niseme tu Walimu wengine wote katika hizo Shule na Vyuo walinisaidia sana na Wao pia wabarikiwe mno na wale waliotangulia mbele za haki basi Mwenyezi Mungu aziweke roho zao mahala pema peponi Amen / Inshaallah.
- Sister Agatha pande za St. Peters Kindagarten Oysterbay
- Marehemu Mwalimu Mama Nunduma Oysterbay Primary School
- Marehemu Mwalimu Thomas Olinga Bugema Secondary ( Uganda )
- Mwalimu David Hapeworth Kabojja High School ( Uganda )
- Professor Smith G University of Cape Town ( South Africa )
- Mhadhiri Fr. Dkt. Bernadine Mfumbusa Saint Augustine University of Tanzania ( SAUT )
- Mhadhiri Dkt Ayub Ryoba ( SAUT ) school of Graduate studies.
Unanikumbusha mbali mchikichini iyooMwlimu Hidden -maths
Moddy physics & Mgote -physics
Omar hakim & Mbuga - Biology
Unga & Mbuga - Chemistry
Walikuwa ni msaada mkubwa kwa wanafunzi na Bado wanaendelea kuwa msaada.
Wamenisaidia kwenda shule ya vipaji japo Sina kipaji maalumu,Ningetamani waendelee kutufundisha mpaka chuo sababu ya mazoea
NOTE:
bila kuongeza juhudi binafsi huwezi kufanikiwa.