samtot
JF-Expert Member
- Sep 18, 2013
- 268
- 154
Hapana. Ni sokoni
Hapana. Ni sokoni
Hii sumbawanga hii mkuu hop we ni mdau Wa kantalamba paleKuna Mwalimu Choma , Mwalimu Vinje (Chemistry & Biology)
kimweri mbweni la chaka.Mwalim ngeni a.k.a mnyigo English pale sengerema (sesesco)alikua vzr namiss sana bweni la kimweri room six ground
Hapana la chaka lilikua linaitwa kibasila MKUU kimwer liko njia ya kupanda mabweni ya advance.kimweri mbweni la chaka.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Namkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.
Nakumbuka sana. Kimweri kiko katikati ya mbeni la Kibasila na Madela, ila liko njiani kuelekea chaka kuchimba dawa.Hapana la chaka lilikua linaitwa kibasila MKUU kimwer liko njia ya kupanda mabweni ya advance.
AiseeeeeBashite
Wewe tena uwe na adabu kwelikweli na kama wazazi wako wapo hai uwapende na kuwatunza kama mboni ya jicho manake kama kweli ulisoma hiyo shule gharama walizo kusomeshea hapo kuanzia la kwanza mpaka la saba tu wangeamua kuwekenza kwenye ujenzi wangejenga nyumba 20mbagala na za kisasa.Mr Douglas swimming teacher international school of Tanganyika...Nice dude!!
Muwe mnawapelekea hata tujuzawadi basi mwee kuwapa motisha watoto wachoyo nyieDr chipa uyu mwalimu alinitoa kwa upande wa fizikia na hisabatia ctomsahau maixha yangu yote pa1 xana Dr
Mrs Lugusha na mama mmoja mrembo sana Mrs Singano pale Muhimbili primary.
Bila kumsahau marehemu Mrs Mahushi pale Olympio primary
Come again ma'am...nway I feel ya!!Wewe tena uwe na adabu kwelikweli na kama wazazi wako wapo hai uwapende na kuwatunza kama mboni ya jicho manake kama kweli ulisoma hiyo shule gharama walizo kusomeshea hapo kuanzia la kwanza mpaka la saba tu wangeamua kuwekenza kwenye ujenzi wangejenga nyumba 20mbagala na za kisasa.
Ndo ivo MKUU ulikua ukitoka mirambo unapanda kimweri afu ndo unaenda mabwen ya advance afu ukitoka apo unaenda chaka kupitia uwanjanNakumbuka sana. Kimweri kiko katikati ya mbeni la Kibasila na Madela, ila liko njiani kuelekea chaka kuchimba dawa.
Mimi nilikua Mirambo middle rum 1. Vijana wa Mirambo tulikua tunajiita watoto wa mjini. tulikua karibu na DH, karibu na madarasa, karibu, karib, jikoni. hata usafi sisi ndio tuliokua wasafi