Hongera mkuuNilipokua form three nilikata tamaa kabisa ya hesabu. Mwalimu wangu anaitwa Lesle ni Goa ndiye mtu alieniaminisha kuwa nitaweza, alijitolea kunipa extra tuition. Alikua handsome vibaya mno, nilikua ninakwenda just kumuona kwenye ile extra tuition. Alinisaidia kupass hesabu sitamsahau.
Umetumia kigezo gani kumpatia Mtegetwa hiko cheo?mwl dasi lang1 jite
mwl cuthbert histry jite
[HASHTAG]#fundi[/HASHTAG] wa geography tz nzima Mtegetwa Mng'ala msimbazi centre!
[HASHTAG]#chuo[/HASHTAG] prof Mukundala, prof Nyirabu &Dr Bashiru Ally
,Namkumbuka mr. Masemele mwl. Wa bookeeping pale Jitegemee! Alikuwa hachapi fimbo moja maana akaunt haita balance, ilikuwa fimbo 2,4,6 nk! Alikuwa anadai aki debit 1 lazima a credit 1 iliusitembee upande upande! Kwa kweli ilikuwa very funny.
Big up mkuu! I wish Mwl Munisi asome huu ujumbe...Namkumbuka sana mwl munis wa shule ya msingi msitu wa tembo huyu mwalimu bhna alikuwa akiingia anataka asalimiwe kwa table ya 2-12..unaanza kuimba weeee mpka inaisha.yapata miaka zaidi ya kumi na mbili sasa hizo hesabu zake za table hazijawahi kunitoka hata kwa bahati mbaya..[emoji16][emoji16]huwa namkumbuka hadi nguo alizokuwa anapendelea kuzivaa,style anayoingia nayo,angle aliyokuwa anapendelea kukaa,aina fimbo aliyokuwa anatuchapia tukikosea.hahaha its very funny aisee.nakukumbuka mwl wangu n u know that.miaka mingi nakuombea.kama utausoma huu ujumbe..nakukumbusha tena mwl lzima nitarudi kusema asante kwa mara nyingine nakuahidi na namuomba Mungu anisaidie.ulinijengea msingi mzuri mno wa hesabu tangu darsa lanne na wew ndo uliyenifanya mimi kuipenda hesabu.ninashuku sana ninaipenda hesabu na yenyewe inanipenda mpka sasa.shukran mwl Munis
NdioNa mpaka sasa unaongoza?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] team aza boyMwalimu Kihunrwa wa Aza Boy.
Hapana mkuu ni ngumu sana unalosema kutokeaNgoja niwafungue macho kidogo
Nyuzi kama hizi sio nzuri kuchangia hasa kwa wale wasiopenda kujulikana
Mfano mtu atanzisha uzi akitaka utaje shule yako ya msingi na mwalimu uliyekuwa haumpendi au unampenda na wewe bila hiyana unataja
Kesho atakuja shule uliyosoma sekondari na walimu uliowapenda na usiowapenda na wewe tena unafunguka na unaenda mbali zaidi kwa kutaja majina ya rafiki zako ambao walikuwa kampani yako.
Sasa kimbembe kinakuja ukiwa unatafutwa hawatapata shida kukupata kwa kuwa watakuwa washajua wanaanzia wapi kwa kuwa ushawaambia uliposoma shule ya msingi na mwaka uliohitimu na kujiunga shule ya sekondari ubaya zaidi unakuja pale inapotokea hiyo shule ya sekondari uliyoitaja ulichaguliwa peke yako hivyo basi moja kwa moja utakuwa ushajitia kitanzi
So ushauri wangu kwa nyie msiotaka kujulikana nyuzi kama hizi ni za kukaa nazo mbali na usitoe informations zako za kweli kwa 100% utakuja juta huko mbeleni