paparazimkuu
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 1,087
- 1,433
Mimi kwa kindande sipajui ila tandika kwa wahaya napajua hebu nielekeze kutokea hapo kwa wahayaKwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatari
Mimi kwa kindande sipajui ila tandika kwa wahaya napajua hebu nielekeze kutokea hapo kwa wahayaKwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatari
Ukitoka kwa wahaya unaingia kwa Kindande ukiwa hapo ni kwa nyuma yakeMimi kwa kindande sipajui ila tandika kwa wahaya napajua hebu nielekeze kutokea hapo kwa wahaya
Kwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatari
Elfu 3Dah!,mkuu umenikumbusha wahaya wa tandika,kipindi hicho buku unapata mzigo sasa utongoze demu wa nn?sijui Sasa hivi bei imefika sh ngapi?
alikabwa mitaa ya Soweto kwenye kiwanja cha mpira.....Vibaka wore waliomgusa yule Ustaadh wote walikufa...!Kuna ustadhi mmoja pale maeneo ya makaburi alikua anatoka Tandika anaelekea mtongani ebanaeee, alikua anamkoba wake, walimkaba so jamaa kumbe alikua mwingi, yule jamaa aliemkaba alipigwa kipepsi kimoja alipoteza faham hapohapo, walikuja kama 25 ivi wakamzunguka zilipigwa hapo jamaa anapingana hatari, kuna wakati walimpiga panga wakaanza kumzidi ila na yy kama vibaka 7 wako chini hawajiwezi wengine hawana meno, kibegi chake kikachukuliwa wakamzidi wakamkamata alafu kuna kibaka kibonge sana akajivuta kwa kwasi akapiga ile ya kumpoteza faham, kuna jamaa walikua wanashuhudia wakapiga kelele kwa yule ustadhi kuwa oyaaaaaa kimbia watakuuwa hao, jamaa ndio akakimbia huku hajiwezi DAMU mwilini, lakini yule jamaa sjui alikua akitumia madawa au majini, maana baada ya week 2 tu alianza kufa kibaka mmoja baada ya mwengine pale kitaa vibaka walikimbia kwa mda ikawa shwari sana
Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE.
Kindande kuna maskani maarufu inaitwa Lebanon.
Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu.
Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande.
Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha.
Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala.
Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka.
Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa.
Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari.
Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother.
Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo.
Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani.
Kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
alikabwa mitaa ya Soweto kwenye kiwanja cha mpira.....Vibaka wore waliomgusa yule Ustaadh wote walikufa...!
Kuna mitaa kama unajua unapita anga zao vitu vyako vya thamani una acha nyumbaniDah....kwa kindande ni noma unakabwa mchana mchana watu wanaangalia tu....Kuna io kwa kindande na huku Azimio....Keko mwanga nayo usitembee kizembe.....unakabwa watu wanaangalia!
HahaHahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......
Sasa bwana kumbe kale ka -manzi kali kuwa ni type ya papuchi for sale. ..mimi nilikutana nae usiku -area za kituo cha mwendo kasi tiptop so sikuwa nimeibaini Tabia yake kwa haraka. ...tuka badilishana contact.
Ghafla kesho palivyo kucha tu -- kaka Anza kunisumbua ili tuonane. ..Kwakuwa ilikuwa weekend nikampanga tuonane time za mchana '"..nilikuwa free --
Basi tu kaenda lodge fulani tukamalizana huko ---- kisha kila mtu akafuata njia yake (but nilimpa pesa ) baada ya hapo tukawa tuna wasi liana kwa muda kama wa siku 2 akanipiga mzinga mwingine wa hela ....Nikawa nampotezea ..Basi bwana ' siku 1 jioni akanipigia simu kwa namba ngeni kumbe amewakusanya rafiki zake kibao wacha wanitukane. .. dah! !! Nikakata simu
Hao noma sana..Kuna mmoja alikuwa anaishi magomeni mtoto wa kiislamu ana tako balaa sasa nikamtongoza akakubali lakini alivyokuja geto kuvua anazingua lakini pesa anazipenda balaa...!! Mbele pameziba kabisaa alafu lina nguvu yani nikitaka kulibikiri ni ishu lakini likawa linataka linipe nyumaa..Aisee nkaona hili balaaaa... na nyuma alikuwa analiwa
Wewe unaishi wapi?Yani wanaume wa daslam sijui mnakwama wapi.....yani dume zima linalalamika kukabwa na vibaka.....daaaaaaah..
Hiyo ndio TMK yetu mtuache. Nina mpenzi wangu kutoka sehemu zenu za kistaarabu seriously anaenjoy Sana vituko vya huku kwetuTMK. Live band tunacheza na chupa mkononi. Kila time unatakiwa we ready kwa self defense kisu, wembe, bisibisi. Huku hatuheshimiani kwa umri... Ubabe, kampanni yako, utemi na uenyeji. Long live Temeke watoto wa mabeseni mtuache







aisee.wajuba ukienda nao sawa hawasumbui.Ukijua kuish na wahun ni raha burdani hyo princple alinufundisha dingi yangu yaani alikuwa anawapa mizigo mateja na wanaleta mpaka home bila kuiba chochote na yoyote atakae iba home intllgnce ya Kwanza mateja na mzigo unarud
Tatizo vijana wa sasa ubarobaro mwingi wanawanyanyapaa sana
Na kila ukifika eneo Kuna konki wao lazima uwasome na uwende nao sawa utaish kama mfalme
Na hyo principle ninatumia sana hata nje ya mipaka ya tz na Nina ishi bila tabu na burdani
azimio dogo mmoja alikua kibaka sugu,dingi akachoka na kesi,akavaa msuli ampe radhi,akabinuka kwamba 'mwanangu nakupa radhi,sina radhi nawe' dingi alikua hana kitu ndani,dogo akamwambia unataka kufirrwa,akatoa machine,dingi alitoka nduki mbaya









😂😂Hahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......
Sasa bwana kumbe kale ka -manzi kali kuwa ni type ya papuchi for sale. ..mimi nilikutana nae usiku -area za kituo cha mwendo kasi tiptop so sikuwa nimeibaini Tabia yake kwa haraka. ...tuka badilishana contact.
Ghafla kesho palivyo kucha tu -- kaka Anza kunisumbua ili tuonane. ..Kwakuwa ilikuwa weekend nikampanga tuonane time za mchana '"..nilikuwa free --
Basi tu kaenda lodge fulani tukamalizana huko ---- kisha kila mtu akafuata njia yake (but nilimpa pesa ) baada ya hapo tukawa tuna wasi liana kwa muda kama wa siku 2 akanipiga mzinga mwingine wa hela ....Nikawa nampotezea ..Basi bwana ' siku 1 jioni akanipigia simu kwa namba ngeni kumbe amewakusanya rafiki zake kibao wacha wanitukane. .. dah! !! Nikakata simu
Temeke kama vile kuna nguvu ya ziada siwezi kuhamaKuna mtu wangu anaitwa zeshchriss humwambii kitu na jinsi anavyokupenda TMK