Kuna ustadhi mmoja pale maeneo ya makaburi alikua anatoka Tandika anaelekea mtongani ebanaeee, alikua anamkoba wake, walimkaba so jamaa kumbe alikua mwingi, yule jamaa aliemkaba alipigwa kipepsi kimoja alipoteza faham hapohapo, walikuja kama 25 ivi wakamzunguka zilipigwa hapo jamaa anapingana hatari, kuna wakati walimpiga panga wakaanza kumzidi ila na yy kama vibaka 7 wako chini hawajiwezi wengine hawana meno, kibegi chake kikachukuliwa wakamzidi wakamkamata alafu kuna kibaka kibonge sana akajivuta kwa kwasi akapiga ile ya kumpoteza faham, kuna jamaa walikua wanashuhudia wakapiga kelele kwa yule ustadhi kuwa oyaaaaaa kimbia watakuuwa hao, jamaa ndio akakimbia huku hajiwezi DAMU mwilini, lakini yule jamaa sjui alikua akitumia madawa au majini, maana baada ya week 2 tu alianza kufa kibaka mmoja baada ya mwengine pale kitaa vibaka walikimbia kwa mda ikawa shwari sana