Boda boda acheni kuharibu kwa makusudi mabinti wa watu. Ni laana!

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,411
7,016
Ni laana, mabinti wengi wanaharibiwa kwa makusudi na hawa boda boda, yaani kwao wanafanya kama sifa na ishara ya ushujaa. Si boda boda wote ila wengi wao wana sifa hizi:

1. Wana viduku kichwani vya virasta.
2. Wanavaa sendo na tu soksi.
3. Wengine wana vidredi kichwani.
4. Mziki mzito wa singeli kutoka kwenye piki piki zao.
5. Hawavai smartly, wengi wanavaa kihuni kihuni.
6. Wanaburuza ndala kwenye lami na wengine hukaa upande upande.

Sifa hizo za hapo juu za boda boda hao wahuni waliovamia tasnia, zinawaharibia na boda boda wengine wote hata wale wasio na tabia hizo. Kazi ya boda imekuwa kama ya laana kwa sababu:
1. Hawapati wateja wa kueleweka wenye hadhi kwa sababu ya mionekano yao.

a. Hivi kuna mteja anayejielewa anaweza kukodi boda aliyenyoa kiduku cha turasta? Hivi diwani na hata tajiri mwenye heshima zake anaweza kumkodi boda w hivi kweli?

b. Hivi bosi mteja anayejielewa anaweza kumkodi boda mwenye tabia ya kihuni ya kuburuza sendo kwenye lami kweli?

c. Hivi bosi mteja anayejielewa anaweza kukodi boda aliyevaa kinjunga? Tuwe wakweli tu.

d. Hivi kuna mteja anayejielewa anaweza kukodi boda yenye mziki mzito tena wa singeli(kihuni huni) kweli?

Siwakandii boda boda, il jaribuni kujipa thamani kama kada zingine.

Nini kifanyike?
a. Kuweni wasafi msiwe wachafu wachafu. Kwa kufanya hivyo mta attract wateja wenye pesa. Wateja wengi wenye pesa wanapenda watu smart.

b. Jaribuni kutengeneza mazingira ya kuweka vigezo kwenye kada hii, ili hawa vibaka vibaka wanaoivamia kwa kasi, watupwe nje na vigezo hivyo na mbaki wachache mlio smart, mtakaoiheshimisha kada hii.

c. Kuweni smart GENERALLY
Kwa kufanya hivi mtaepuka fedheha na matusi kila uchwao kwenye kada yenu.

d. Nasisitiza, kwa umoja wenu wekeni vigezo na sheria zenu, tena ikibidi zipitishwe kwenye KATIBA, ili muwapunguze kama siyo kuwatoaVIDREDI na vibaka vibaka wote waliovamia fani, wanawaharibia sana.

Narudi kwenye mada:
Boda vidredi acheni kuwaharibu kwa makusudi mabinti na wake za watu na mnajisifia upumbavu. Huenda hii ni moja ya sababu mkaitwa laana na baadhi ya watu.
 
Huwa namuelewa sanaa kijana anayependa ofisi yake hasa wale WALIOJIAJIRI.

#YNWA
 
Back
Top Bottom