Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE.

Kindande kuna maskani maarufu inaitwa Lebanon.

Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu.

Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande.

Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha.

Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala.

Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka.

Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa.

Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari.

Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother.

Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo.

Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani.

Kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
Vyumba bei gani hapo kindande maana inaonekana maisha fulani hivi ya majuu
 
Du mkuu hiyo ni wild west!
 
Duuh!
kwa ukweli sijawahi kuishi maeneo yeyeto kama hayo lakini nilikuwa nikipita maeneo fulani kama haya Mtoni kwa Azizi Ali au Mikoroshoni na mengineyo kwenye pilika za kutafuta "BLUNT" wakati nasoma Secondari.
Nilikuwa nikisikia sauti za muziki wa mchiriku, nilikuwa nasisimka, mwili unapigwa ganzi, kila mtu ukimwagalia hurudi mara pili kuangalia, kichwani nawaza hapo ndio kuna vibaka wote, wajuba wote, na kila mtu amebeba mtandao tayari kwa kazi.
Lakini baadae nilikuja kuupenda sana mchiriku nilikuwa na nyimbo zote za kina Gari Kubwa, Meli ya Sumu
 
Watoto wa Kishua bhana...

Sie wengine tumehama hizo pande kwa sababu tushakuwa watu wazima na tunahitaji kujitegemea na kuwa mbali na wazazi or else, unahama vipi pande hizo?!

Tatizo la huku, ukiishi jirani na familia... mtaa mzima unakuta pale mjomba, pale shangazi; mtaa wa pili ma' mdogo... yaani inakuwa taabu tupu! Na kama umeshaenda kuwa brainwashed na elimu ya kikoloni ndo full udhia!

Ndo kuna mtoto mmoja hivi wa Magomeni.. enzi hizo alikuwa mshikaji sana! Siku akanipigia simu kuniuliza Kwa Kindande ndo wapi, nikamwambia ndo pande hizi ninazoishi; we niambie unaenda Kwa Kindande kwa nani au sehemu gani manake kwa Kindande ni kubwa!

Akanitajia mitaa danger zaidi!

Siku ya siku mshikaji akaja home, na kwa roho safi, nikampeleka hadi kwa ndugu yake ambako kulikuwa na harusi! Kwa bahati mbaya, nilikuwa na mishe zangu kwahiyo nikamwacha, nikasepa!

Nusu saa nyingi, jamaa namuona huyu hapa wakati aliahidi angerudi baadae sana! Namuuliza hoya vp, mbona mapema! Jamaa nasikia "argh, washikaji wa kule sijui vp, kila muda naona wananiangalia kwa kukonyezana huku wakiambiana kwa sauti ya chini ng'ombe hilo... ng'ombe hilo!"

Bila kutarajia, nikajikuta namwangalia dressing code yake, nikaishia kucheka tu!!

Kwa Kindande sio Uswahilini bali ni Ushenzini... unaendaje Ushenzini na masuruali yako ya kitambaa huku ukiwa umechomokea na shati lako la mikono mirefu?!
Huko ndo vinjunga vilipoanzia...mpaka Mikoroshini yote vinjunga way back...we unavaaje kipapaa wasikuone Ng'ombe?
 
H
c kweli hayo mambo zamani sana ila sasa hv yamepungua sana kiukweli miaka ya 2003 to 2014 palikua hapafai ila nowdays yamepungua Sanaa yapo ila kwa uchache sana. temeke wailes ,mtongani ,mitaa ya kombora,kwa aziz ali ,kwa kabuma ,kitomondo,dabo kibini.
Hahaha...kuna pande nilishafika nje ya Temeke wanadai Muhuni Tanzania kazaliwa Davis Corner pale..ndo akasambaa pande nyingine nchini.
 
Hiyo ndio TMK yetu mtuache. Nina mpenzi wangu kutoka sehemu zenu za kistaarabu seriously anaenjoy Sana vituko vya huku kwetuTMK. Live band tunacheza na chupa mkononi. Kila time unatakiwa we ready kwa self defense kisu, wembe, bisibisi. Huku hatuheshimiani kwa umri... Ubabe, kampanni yako, utemi na uenyeji. Long live Temeke watoto wa mabeseni mtuache
Sa ndo maisha gani hayo,yaan mpaka leo mnaona usela mavi wa miaka ya 80 na 90 mwanzoni ni sifa????!!!!!!!!!!
 
Mimi ndo maana dar huwa siipendi kabisa!
Hii tabia haiko Dar tu, kwenye miji mikuu mingi kuna maeneo ya washenzi, wewe ulikua unategemea mji kama mbeya Sumbawanga kuwepo na wadada wanaocheza ligi zote.
 
Mwaka juzi nilienda kuzika mitaa ya yombo, ndanindani huko. Wakatati narudi nilipita mtaa fulani, aise sikuamini macho yangu mwanzo wa mtaa, hadi mwisho mateja ni wengi sana, ikabidi niingie duka moja hivi nikajifanya nahitaji kitu, alafu nikauliza juu ya uwepo wa mateja wengi pale.

Akaniju hawa wanatoka maeneo mbalimbali ya jiji huja hupata vitu vyao mchana jioni wanarudi makwao.
 
H

Hahaha...kuna pande nilishafika nje ya Temeke wanadai Muhuni Tanzania kazaliwa Davis Corner pale..ndo akasambaa pande nyingine nchini.

Inawezekana ukweli muhuni kazaliwa maeneo hayo.. maana maeneo ya davis kona yamepakana na mitaa miwili hatari kuliko yote Tanzania.. ile round about ya davis kona ukiifata upande wa kuelekea buza pale kwenye reli ukikunja kulia unaelekea mtaa hatari wa taa nyekundu... na ukikata kushoto unaelekea mtaa hatari wa kaburi moja.. huko kote unakabwa na hata kuliwa uroda hadharani mchana kweupe na hawashangai na wala hakugombelezei mtu
 
Inawezekana ukweli muhuni kazaliwa maeneo hayo.. maana maeneo ya davis kona yamepakana na mitaa hatari kuliko kote Tanzania.. ile round about ya davis kona ukiifata upande wa kuelekea buza pale kwenye reli ukikunja kulia unaelekea mtaa hatari wa taa nyekundu... na ukikata kulia unaelekea mtaa hatari wa kaburi moja.. huko kote unakabwa hata mchana kweupe na hakugombelezei mtu
Msumbiji hiyo
 
Tofautisha kati ya Dar na mzizima ....huko sijui kindande ,sijui mtongani..kiufupi Temeke yote ni mzizima
Wewe ndo wala huijui Dar es salaam!!! Kama unadhani Mikocheni, Masaki, Mbezi, Oysterbay and the like ndio Dar es salaama basi huijui Dar es salaam!!!

Huwezi kuitenganisha Dar es salaam na Uswahilini Max au Uswahilini Pro ambako nakuita Ushenzini!!!

Huko Ushenzini ndo unapata flavor halisi ya Dar, na sio kule ambako videmu na vivulana vinaongea Kiswahili kwa lafudhi ya kizungu wakati hata Nairobi hawajawahi kufika... fvck them all!!

Huwezi kusema upo Dar es salaam au umewahi kufika Dar es salaam wakati huijui Dar es salaam Asili!

Hujawahi kuuona wala kuusikia mdundiko, vigodoro unapata kuvisikia tu Instagram, hujawahi ona mwanamama mtu mzima anaendewa na vigoma kwake kusutwa mbele ya familia yake kwamba aache umbeya; halafu unasema unaijua Dar es salaam?!

Enzi hizo, mdunduko unaanzia Temeke Mikoroshini hadi Mwananyamala kwa Waswahili wenzetu and all the way to Mwananyamala watu wanaunga tela njiani...!!

Na kama kuna ndugu wengine say pande za Msasani huko (sio Msasani ya Kishua) basi mdundiko hautaishia Mwanyamala!!

Hiyo ndo Dar es salaam, na mambo mengine yoooote ni fake!! Huwezi kuitenganisha Dar es salaam na Uswahili au na uhuni wa Kiswazi!!

I miss Temeke, ndo vile tu ili kupambana na maisha wanaume tunatakiwa kuwa mbali na familia na ndugu!!!

Nimeona hapo juu Jason Statham2 akisema "hiyo ndo TMK yetu, mtuache", nami nakazia, tuachieni Temeke yetu!!
 
Huwezi kujiiita upo Dar es salaam au unaijua Dar es salaam wakati huijui Dar es salaam asili!

Hujawahi kuusikia mdundiko, vigodoro unapata kuvisikia tu Instagram, hujawahi ona mwanamama mtu mzima anaendewa na vigoma kwake kusutwa mbele ya familia yake kwamba aache umbeya; halafu unasema unaijua Dar es salaam?!

I miss Temeke, ndo vile tu ili kupambana na maisha wanaume tunatakiwa kuwa mbali na familia na ndugu!!!

Nimeona hapo juu Jason Statham2 akisema "hiyo ndo TMK yetu, mtuache", nami nakazia, tuachieni Temeke yetu!!
Word up!
 
Sa ndo maisha gani hayo,yaan mpaka leo mnaona usela mavi wa miaka ya 80 na 90 mwanzoni ni sifa????!!!!!!!!!!
We mtoto wa Kota nyamaza!!

Unajiita Da Hustla halafu unaogopa watu wenye nyembe mfukoni!!! Watu hadi kesho wanatembea na full-loaded gun, na ukimzingua anaku-shoot, unakuja kuogopa kisu halafu bado unajiita Da Hustla!!!
 
Wewe ndo wala huijui Dar es salaam!!! Kama unadhani Mikocheni, Masaki, Mbezi, Oysterbay and the like ndio Dar es salaama basi huijui Dar es salaam!!!

Huwezi kuitenganisha Dar es salaam na Uswahilini Max au Uswahilini Pro ambako nakuita Ushenzini!!!

Huko Ushenzini ndo unapata flavor halisi ya Dar, na sio kule ambako videmu na vivulana vinaongea Kiswahili kwa lafudhi ya kizungu wakati hata Nairobi hawajawahi kufika... fvck them all!!

Huwezi kusema upo Dar es salaam au umewahi kufika Dar es salaam wakati huijui Dar es salaam Asili!

Hujawahi kuuona wala kuusikia mdundiko, vigodoro unapata kuvisikia tu Instagram, hujawahi ona mwanamama mtu mzima anaendewa na vigoma kwake kusutwa mbele ya familia yake kwamba aache umbeya; halafu unasema unaijua Dar es salaam?!

Enzi hizo, mdunduko unaanzia Temeke Mikoroshini hadi Mwananyamala kwa Waswahili wenzetu and all the way to Mwananyamala watu wanaunga tela njiani...!!

Na kama kuna ndugu wengine say pande za Msasani huko (sio Msasani ya Kishua) basi mdundiko hautaishia Mwanyamala!!

Hiyo ndo Dar es salaam, na mambo mengine yoooote ni fake!! Huwezi kuitenganisha Dar es salaam na Uswahili au na uhuni wa Kiswazi!!

I miss Temeke, ndo vile tu ili kupambana na maisha wanaume tunatakiwa kuwa mbali na familia na ndugu!!!

Nimeona hapo juu Jason Statham2 akisema "hiyo ndo TMK yetu, mtuache", nami nakazia, tuachieni Temeke yetu!!
Umeelewa lakini context ya kutofautisha kati ya Dar es salaam na Mzizima katika kumjibu huyo aliyesema haipendi Dar ?

Sio unaleta story za mwananyamala sijui tandika...yes hizo ni story zinayovutia watu wake na kuna watu haziwavutii na hawana habari nazo hapa hapa Dsm

Off course,Temeke yenu ni yenu na we don't give a damn about it
 
Back
Top Bottom