Profesa ntare nkobe
JF-Expert Member
- Feb 5, 2018
- 6,955
- 8,144
- Thread starter
- #21
WanalipaCha msingi walipe kodi tuu
WanalipaCha msingi walipe kodi tuu
Pamoja mkuuAsante kwa kutujulisha,hizi ndio nyuzi muhimu,kwa kututahadharisha,tusio wenyeji maeneo hayo.
Huu mtaa kupora ni kama tabia ya kurithiNilipokua mdogo tushawahi kuporwa mchana kweupe
Wanakuja kama 30 unabaki kusikiliza matusi yao vidole usoniHahaha eti wewe ukichepuka wanakusuta ila wao kuchepuka ruksa duh! !! Hao kweli makonki
Utakufaa kama una weza kashi kashiHuo mtaa utanifaa Sana mimi ,ngoja nikatafute chumba Cha kupanga huko
Mimi hapo makaburini karibu na msikiti mkuuHaahaa ulikuwa unaishi pande zipi,mimi nilikuwa naishi nyuma ya Kombola pale.....
Amani hipo kwa wenyeji na polisi wapo wanapajua vizuri sanaPolice Nendeni Mkarejeshe Amani Huko
Nenda kachukue kwa Kindande utapiga picha za kutoshaBila picha za hao vibaka ndo nini sasa?
Haina namna ndio maisha yetuTunaishi nao....
Pale makaburini njia ya tandika,ndo palikuwa hapafai pale haahaa si mchana si jioni.....Lebanon ile ya zamani ilikuwa haifaiMimi hapo makaburini karibu na msikiti mkuu
Hahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......Wanakuja kama 30 unabaki kusikiliza matusi yao vidole usoni
Niliishi huko,miaka kama 18 hiviUnaishi Huko
Hizo ndio tabia zao mademu wa uswazi asa mitaa hiliyo kubuhuHahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......
Sasa bwana kumbe kale ka -manzi kali kuwa ni type ya papuchi for sale. ..mimi nilikutana nae usiku -area za kituo cha mwendo kasi tiptop so sikuwa nimeibaini Tabia yake kwa haraka. ...tuka badilishana contact.
Ghafla kesho palivyo kucha tu -- kaka Anza kunisumbua ili tuonane. ..Kwakuwa ilikuwa weekend nikampanga tuonane time za mchana '"..nilikuwa free --
Basi tu kaenda lodge fulani tukamalizana huko ---- kisha kila mtu akafuata njia yake (but nilimpa pesa ) baada ya hapo tukawa tuna wasi liana kwa muda kama wa siku 2 akanipiga mzinga mwingine wa hela ....Nikawa nampotezea ..Basi bwana ' siku 1 jioni akanipigia simu kwa namba ngeni kumbe amewakusanya rafiki zake kibao wacha wanitukane. .. dah! !! Nikakata simu
Mimi ndo maana dar huwa siipendi kabisa!Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE...Kindande kuna maskani maarufu ina itwa Lebanon..Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu...Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande..Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha..Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala..Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka..Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa...Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari..Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother..Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo....Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani..kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
Ukifika Temeke kuna mtaa unaitwa Mji mpya ndani yake kuna kamtaa korofi kanaitwa KINDANDE...Kindande kuna maskani maarufu ina itwa Lebanon..Huu mtaa kwa kindande ni mtaa ambao unaogopeka kupita bila taadhari kwa saa 24..Mambo yote maovu yapo hapo kuanzia wizi kukaba mchana umalaya uvutaji bangi ulio kubuhu...Katika maisha yangu yote sijawai kuona wanawake wanavuta bangi kupita wanaume ni mewaona kwa Kindande..Mabinti wa kwa Kindande wanatabia ya kukaa nje wakikuomba hela ukakataa kutoa hayo matusi yake ni balaaha..Mabinti wa kwa Kindande wanaongoza kucheza vigodoro wakiwa uchi sometimes wanakodishwa kwenda kusasambua kwenye vigodoro vya majirani zao Mtongani,Tandika,Wailes, na Mbagala..Hawa mabinti wana tabia ya kukodi boda boda usiku mishale ya saa 7 usiku na kuendelea wana tegesha sehemu za starehe ukijiroga ukampakia mkifika tu kwa Kindande kuna makaburi mitaa hiyo litakuja kundi litakupiga piki piki inaondoka..Kwa Kindande ukimpenda demu ukichepuka kazi unayo utapigwa na kundi lake plus matusi juu hila yeye kuchepuka ruksa...Wana maskani yao inaitwa Lebanon hiyo na polisi ni kufukuzana kila siku hapo unawapata madogo wa miaka 12 waliopinda wapiga bangi hatari..Huku unakuta dogo naye ni baba vibinti vidogo navyo ni single mother..Huu mtaa unaongoza kwa matusi kwa lika zote hakuna heshima kwa mkubwa wala mdogo....Hiki kimtaa kimepakana na Tandika Kwa Aziz Ally Temeke mwisho na Mtoni mtongani..kama sio mtu wa vulugu usipange mtaa huu...
Sasa si wanarithishana unakuta brother muhuni,mdogo anayemfuatia muhuni halafu kwa sababu ni watu waliozaliwa eneo hilo hawakanyani....ukimpiga jirani yako atakumaindHuu mtaa kupora ni kama tabia ya kurithi
Mimi ndo maana dar huwa siipendi kabisa!
Hizo ndio tabia zao mademu wa uswazi asa mitaa hiliyo kubuhu