SSH2025_2030
JF-Expert Member
- Jul 9, 2012
- 9,661
- 9,754
Hiyo mitaa tumepita miaka ya 1986-1987 tukitokea Kurasini Shimo la Udongo kufuata Machungwa Tandika Sokoni Kwa mguu na kurudiKuna ka mwendo kidogo hila kutoka temeke mwisho ni karibu sana
Hiyo mitaa tumepita miaka ya 1986-1987 tukitokea Kurasini Shimo la Udongo kufuata Machungwa Tandika Sokoni Kwa mguu na kurudiKuna ka mwendo kidogo hila kutoka temeke mwisho ni karibu sana
Haile Selassie yule ailikuwa jauHayo maeneo nimeishi zaidi ya miaka 12 hadi nahamia Mbezi kimara 2011,kona zote nazijua,kuna mkabaji mmoja alikuwa anaitwa Haile wanannchi baada ya kumchoka siku moja walimchinja kama kuku na kutenganisha kichwa na kiwiliwili,siku nyingine wanannchi wakachoma vibaka watatu kwa mpigo pale kwa Mchei, basi jamaa mmoja alikuwa na haice akawa anakanyaga zile maiti kwa gari da umenikumbusha mbali
Madafu napafahamu mkuu. Siku hz kuna lami. NimekusomaMadafu unapajua? Ile njia sasa ndo unaelekea kwa kindande.
Si ndo mitaa yao ya kujidai ile...daaah kwa kindande kiboko wapiga debe wa mtoni mtongani wanatokea huko,
kweli panatisha
Kwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatariKwa Kindande vs Uwanja wa Fisi wapi zaidi?
daaah kwa kindande kiboko wapiga debe wa mtoni mtongani wanatokea huko,
kweli panatisha
Yani ile mtoni yote ilikuwa shida,kindande,mtongani,soko mjinga kule,wailes yanKwa Kindande ni zaidi wamepakana na wahaya wa tandika hii korabo ni hatari
Lile eneo litabadilika endapo wazawa wote wakiondoka,otherwise hakutobadilika....ila sikuhiz wengi wanauza uza kulePale karibu wote wamevulugwa
Lile eneo litabadilika endapo wazawa wote wakiondoka,otherwise hakutobadilika....ila sikuhiz wengi wanauza uza kule
Mtu ununue eneo kule si ndo kununua na Majini labda waendelee kuwauzia Wapemba na Waarabu wanayamuduHila bado wazawa ni wengi wakiuza litakuwa eneo zuri
Nirushie no yake PM nianzie ulipoishiaHahaha niliwahi kutoka na demu mmoja hivi alikuwa ana ishi manzese dah (kuhangaika huku ).......
Sasa bwana kumbe kale ka -manzi kali kuwa ni type ya papuchi for sale. ..mimi nilikutana nae usiku -area za kituo cha mwendo kasi tiptop so sikuwa nimeibaini Tabia yake kwa haraka. ...tuka badilishana contact.
Ghafla kesho palivyo kucha tu -- kaka Anza kunisumbua ili tuonane. ..Kwakuwa ilikuwa weekend nikampanga tuonane time za mchana '"..nilikuwa free --
Basi tu kaenda lodge fulani tukamalizana huko ---- kisha kila mtu akafuata njia yake (but nilimpa pesa ) baada ya hapo tukawa tuna wasi liana kwa muda kama wa siku 2 akanipiga mzinga mwingine wa hela ....Nikawa nampotezea ..Basi bwana ' siku 1 jioni akanipigia simu kwa namba ngeni kumbe amewakusanya rafiki zake kibao wacha wanitukane. .. dah! !! Nikakata simu
Kabisa na wanapenda ushirikina sanaMtu ununue eneo kule si ndo kununua na Majini labda waendelee kuwauzia Wapemba na Waarabu wanayamudu
Nirushie no yake PM nianzie ulipoishia
Tena kulikuwa kunatisha zaidi pale temeke mwisho enzi hizo kuna nyumba za kota asee kule ni balaa
Sasa si wanarithishana unakuta brother muhuni,mdogo anayemfuatia muhuni halafu kwa sababu ni watu waliozaliwa eneo hilo hawakanyani....ukimpiga jirani yako atakumaind
Ndio mkuu ukiangalia kwa mbele ndio mtaa wa KindandeTemeke mwisho ndio Yale maeneo ya stend. .yanapo pack magari ya kwenda kusini?