Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Mtaa wa kwa Kindande Temeke visa vyake

Nilikuwa natoka zangu kwa Aziz mida ya saa mbili mwaka jana mwezi wa 5 kuna kajamaa akajui kuwa kupita Lebanon unapita kama upepo kapo kana chat jamaa kakakaba kakapokonywa simu kakanifuata brother nisaidie nikamwambia kaangalie kama bado yupo walitoka kama kumi wamemshikia mapanga sikujua amepitia wapi..
Pale makaburini njia ya tandika,ndo palikuwa hapafai pale haahaa si mchana si jioni.....Lebanon ile ya zamani ilikuwa haifai
 
Mwaka 88 baada ya kupata kazi idara moja ya serikali nilipata chumba maeneo ya Manzese Midizini, wezi wote wa kwenye mitumba walikua wanakaa midizini. Nilikua nikirudi saa kumi sitoki ndani mpaka kesho yake kwa kuogopa vibaka. Siku moja kaja dogo mmoja kuniambia, shoferi usipende kukaa ndani kama dem. Njoo nikuyembeze. Basi nikatoka nae break ya kwanza kwenye banda la gongo. Enzi zile kituo cha polisi cha karibu ni urafiki. Basi nikaagiza kijeti kilipoisha nikaagiza cha pili. Wahuni walikunywa mpaka wakasema shoferi basi. Kuanzia hapo niliyembea Manzese yote mida yoyote bila kuulizwa na mtu. Ila wakikuomba kistaarabu kifanta au fegi wape tu. Nikaja kugundua kwamba kumbe hakuna mhuni ambae hana utu.
 
Halafu ukizoea hayo maisha kuhama uwezi uswazi ina utamu wake
Yah mkuu,mfano hapo tulipokuwa tunakaa kuna mpangaji alikuwa kitombi kweli,sasa unakuta npo ukumbini kwenye meza napiga book jamaa kaingia na demu wake na nyumba haina selling body bas dem na ile miguno kitabu kinaaihirishwa,halafu jamaa anakuja kumalizia cha asubuh alfajili bado mpo kitandani hamjaamka mnasikia miguno daaah haahaa lile life aisee
 
Miaka ya 2004 niliwahi ishi maeneo ya Mwenge kijijini, karibu na Maryland Bar. Mitaa ile kulikuwa na mateja wakiniomba mia mbili mia mbili nawapa. Usiku nilikuwa nikirudi Home wanasema mwache afisa apite. Anayekuja nyuma yangu unasikia kelele za kumkaba!
 
Usipo wapa ushirikiano uswazi utaiona ngumu
 
Yah mkuu,mfano hapo tulipokuwa tunakaa kuna mpangaji alikuwa kitombi kweli,sasa unakuta npo ukumbini kwenye meza napiga book jamaa kaingia na demu wake na nyumba hauna selling body bas dem na ile miguno kitabu kinaaihirishwa,halafu jamaa anakuja kumalizia cha asubuh alfajili bado npo kitandani hamjaamka mnasikia miguno daaah haahaa lile life aisee
Mitaa ya kombola ni kati ya sehemu ninazo zikubali sana ukitoka tu bar unaingia kanisani...
 
Yani wanaume wa daslam sijui mnakwama wapi.....yani dume zima linalalamika kukabwa na vibaka.....daaaaaaah..
 
Hiyo ndio TMK yetu mtuache. Nina mpenzi wangu kutoka sehemu zenu za kistaarabu seriously anaenjoy Sana vituko vya huku kwetuTMK. Live band tunacheza na chupa mkononi. Kila time unatakiwa we ready kwa self defense kisu, wembe, bisibisi. Huku hatuheshimiani kwa umri... Ubabe, kampanni yako, utemi na uenyeji. Long live Temeke watoto wa mabeseni mtuache
 
Mwaka 88 baada ya kupata kazi idara moja ya serikali nilipata chumba maeneo ya Manzese Midizini, wezi wote wa kwenye mitumba walikua wanakaa midizini. Nilikua nikirudi saa kumi sitoki ndani mpaka kesho yake kwa kuogopa vibaka. Siku moja kaja dogo mmoja kuniambia, shoferi usipende kukaa ndani kama dem. Njoo nikuyembeze. Basi nikatoka nae break ya kwanza kwenye banda la gongo. Enzi zile kituo cha polisi cha karibu ni urafiki. Basi nikaagiza kijeti kilipoisha nikaagiza cha pili. Wahuni walikunywa mpaka wakasema shoferi basi. Kuanzia hapo niliyembea Manzese yote mida yoyote bila kuulizwa na mtu. Ila wakikuomba kistaarabu kifanta au fegi wape tu. Nikaja kugundua kwamba kumbe hakuna mhuni ambae hana utu.
Ukijua kuish na wahun ni raha burdani hyo princple alinufundisha dingi yangu yaani alikuwa anawapa mizigo mateja na wanaleta mpaka home bila kuiba chochote na yoyote atakae iba home intllgnce ya Kwanza mateja na mzigo unarud

Tatizo vijana wa sasa ubarobaro mwingi wanawanyanyapaa sana

Na kila ukifika eneo Kuna konki wao lazima uwasome na uwende nao sawa utaish kama mfalme

Na hyo principle ninatumia sana hata nje ya mipaka ya tz na Nina ishi bila tabu na burdani
 
Hayo maeneo nimeishi zaidi ya miaka 12 hadi nahamia Mbezi kimara 2011,kona zote nazijua,kuna mkabaji mmoja alikuwa anaitwa Haile wanannchi baada ya kumchoka siku moja walimchinja kama kuku na kutenganisha kichwa na kiwiliwili,siku nyingine wanannchi wakachoma vibaka watatu kwa mpigo pale kwa Mchei, basi jamaa mmoja alikuwa na haice akawa anakanyaga zile maiti kwa gari da umenikumbusha mbali
 
Back
Top Bottom