Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Sio CCM ni wanasiasa. Nchi hii tumewapa nguvu sana wanasiasa kiasi ambacho wanaweza kupinduq hadi mwelekeo wa nchi. Tusipolishughulikia hili mapema twafaHitimisho: CCM itaendelea kuwatesa Watanzania miaka mingi mbele
Urusi muda si mrefu anaishiwa pumziKwa hali hii URUSI atakwama kwa muda mrefusana
Dunia ya wazungu hii bossKwa hali hii URUSI atakwama kwa muda mrefusana
Kwa sasa kimekushinda nini?Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Chini ya msimamizi mkuu wa alliance wao US noti anajitengenezea mwenyewe harafu inasambaa kutumia dunia zima ,akati nyingine zote zinaishia mipakani mwa nchi husikaDunia ya wazungu hii boss
Dah...Magufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
Hata kwenye umeme angewekeza kwenye umeme wa Gesi leo kusingekuwa na mgao. Na uharibifu huu wa mazingira hata uwekezaji wa nyerere Dam utakuwa wa hasara tuKwa sasa kimekushinda nini?
Upatikanaji tu wa umeme umekushinda, kila siku tupo kwenye mgao usioisha, uongelee kusafirisha gas?
Kwa uwezo upi ulionao wewe Januuu--- ary?
Endeleeni kumlaumu asiyekuwepo, Mara paap, 2025, Sjui mtamsingizia Nani nyinyi wehu,!
Nakuulizeni, ni kipi kimekushindeni kufanya sasa,!Hata kwenye umeme angewekeza kwenye umeme wa Gesi leo kusingekuwa na mgao. Na uharibifu huu wa mazingira hata uwekezaji wa nyerere Dam utakuwa wa hasara tu
Weka in details..!!Wakati sisi mwaka 2015 tulimuingiza madarakani muhutu ambaye badala ya kuendeleza mazungumzo ya uwekezaji wa gesi alipoyakuta kwa mtangulizi wake aliamua kuachana kabisa na mambo ya gesi leo Msumbiji ambao walitukuta nyuma yetu kwenye masuala ya Gesi wameanza kusafirisha Gesi kuelekea ulaya wakikamata fursa iliyofunguka
Kama Tanzania hatujaamua kuacha Siasa kwenye Utendaji tutazidi kuwa wa mwisho kwenye maendeleo hadi mwisho wa duniaView attachment 2415622
Samahani kwa wanawe Ila yule dingi alikua fala sanaMagufuli hii nchi aliirudisha nyuma miaka 10, sio kwenye utawala bora wa sheria tu bali pia maendeleo
We mweupe Sana kichwani,gesi itoke msumbiji Hadi ulaya kwa Bomba!?..ndege gani ilisafirisha gesi!?..picha umewekewa bado inauliza tuWeka in details..!!
Wanasafirisha kwa meli, ndege au mabomba?
Wewe ndiyo kilaza...mradi wa gesi unaweza kuuanzisha na kuvuna ndani ya mwaka mmoja!?Nakuulizeni, ni kipi kimekushindeni kufanya sasa,!
Au na we we ni wale vilaza wa Taifa hili, yaani wafoji vyeti, mabingwa wa kutoa lawama pasina kuleta suluhisho.?
Nyie kazaneni na umbumbu wenu!
Ungejua nipo kwenye industry gani usingesema..!! sometime tunauliza maswali kwa faida ya wengine..!! Anyway, ASANTEWe mweupe Sana kichwani,gesi itoke msumbiji Hadi ulaya kwa Bomba!?..ndege gani ilisafirisha gesi!?..picha umewekewa bado inauliza tu
Kuwa kwenye industry haijalishi,pengine unauza maandazi au kuchemaha maji hukoUngejua nipo kwenye industry gani usingesema..!! sometime tunauliza maswali kwa faida ya wengine..!! Anyway, ASANTE
Unachokisema ni kweli kwamba unaweza ukawa mfagizi..!! Lakini still hujui nipo kwenye industry gani na nafanya nini..!! Ntakuuliza ya kitaalamu zaidi..!! Endelea tuKuwa kwenye industry haijalishi,pengine unauza maandazi au kuchemaha maji huko