MSUKUMA: Maprofesa wawatafutie wahitimu wote ajira

mbunge wa ccm akienda kwenye media tegemea haya. tatizo siyo elimu tatizo ni ccm hata angekuwa mwakyembe ungesikia upupu mwingine tu
 
Akiachilia mbali na U professor... pia wanashirikishwa sana kwenye miradi ya nje. Kwa hiyo ni rahisi sana kutafitia wahitimu kazi. Pale MUHAS kuna project kibao zinazoshikiliwa na ma proffesor watu wanalipwa kwa kazi hela nzuri tu...
 
Mh. Msukuma yuko Star TV, anasema atapeleka mswaada bungeni utakao walazimisha maprofesa kuwatafutia wahitimu wote wa chuo ajira pindi tu watakapomaliza chuo. Na anatafuta kuungwa mkono na wabunge wote katika huu mswaada wake
.
ndo uwezo wake wa kufikiria umekomea hapo. elimu yake kiduchu sana. wenda elimu ya juu aliyoipata ni drs la pili
 
Msukuma yupo sawa kabisa;maprof wetu wanatakiwa wawe creative watafute miradi ili wahitimu baadhi wapate ajira;Nchi yetu ina matatizo mengi yanayohitaji solutions na katika kutimiza hizo solutions ndo kazi zenyewe hawawasomi wetu tunategemea wawe creative na vijana wetu wapate ajira
 
Elimu ya Mbunge ni Kigezo sasa kwa Pumba hizi huyu naye ni mbunge
 
nakili kuanza kupata wasiwasi na elimu yako my good madam
 
Msukuma ni ndugu yake Tumsifu Kiberege wa Njombe???

Naona kama akili zao zimefanana.
 
Msukuma yupo sawa kabisa;maprof wetu wanatakiwa wawe creative watafute miradi ili wahitimu baadhi wapate ajira;Nchi yetu ina matatizo mengi yanayohitaji solutions na katika kutimiza hizo solutions ndo kazi zenyewe hawawasomi wetu tunategemea wawe creative na vijana wetu wapate ajira
Core function za universitet unazifahamu?
 
Elimu ya Mbunge ni Kigezo sasa kwa Pumba hizi huyu naye ni mbunge

Akili za Kiongozi zinafanana na anawaoongoza..

Wakuwalaumu ni hao Wananchi wake waliotuletea huu "MZIGO".
 
jamaa kapita kwa gori la mkono. Baada ya kutangazwa, ilikatwa rufaa kupinga ushindi wake. Ila baadae yalitokea mauaji ya kinyama kwa aliyekuwa mgombea wa CHADEMA jimbo lile, kamanda MAWAZO!
 
Mkuu hapo nimechoka kweli nchi yangu nimeiacha kwa vilaza hawa? Huyu ndio ana kwenda kupigania maendeleo ya Taifa hili? Hajui hata maana ya kuelimika ni kuya control mazingira yako, ajira ipo popote serikalini, sekta binafsi na non organization governments, ina sikitisha kiukweli. Wana janvi nina waomba jiandaeni kwenda ku gombea ubunge kwa wale wasio wabunge, uwa kilishi huu wakina Msukuma ni janga la Taifa. I submmit.

non organisation governments!!!?
 
nakili kuanza kupata wasiwasi na elimu yako my good madam
Tatizo mna prejudgment,badala ya kujadili hoja ya msukuma na kuiboresha mnaanza kuangalia yeye hajasoma na hapa unaanza kuquestion elimu yangu jadili hoja
 
Akiachilia mbali na U professor... pia wanashirikishwa sana kwenye miradi ya nje. Kwa hiyo ni rahisi sana kutafitia wahitimu kazi. Pale MUHAS kuna project kibao zinazoshikiliwa na ma proffesor watu wanalipwa kwa kazi hela nzuri tu...
😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱😱
 
Back
Top Bottom