alberaps
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 1,568
- 1,002
Kasema maprof na siyo vyuo,nyie ndo hamjamuelewa;unajua watu wanasoma ili kutatua matatizo likiwemo la ajira;Hao maprof wawe creative ili kutengeneza ajira siyo lazima wawachike mkono vijana na bahasha kwenda kuwatafutia ajira;hata ile kuwaandaa vijana kujiajiri pia wamewatafutia ajira ama vipi;yaani watu hamthink out of the box
1. Huwezi ukasema maprofesa kana kwamba hicho ni cheo cha kuteuliwa.
2. Huwezi kusema maprofesa wamesomeshwa na hela ya walipa kodi kwa sababu wapo wengi tu waliosomeshwa kwa pesa za baba zao
3. Hiyo kazi ya kutafuta ajira na profesa let say wa kiswahili pale chuo kikuu vinahusiana vipi
4. Hao Maprofesa hawana kazi zingine za kufanya? Au anataka waache kila wanachofanya watafute ajira
5. Nini kazi ya WIZARA YA KAZI..........
Huyu bwana akili yake imeishia kwenye kampeni za kujinyea no more no less