Ndo maana JPM kaishia kutafuta mawaziri nje ya wabunge wa chama chake....kama wabunge wenyewe ndo kama akina Msukuma hakuwa na jinsi nyingine
Bunge hili la 11 litajaa vilaza kama akina Msukuma. Pyuuu natema mate chini. Mungu shusha nguvu yako patokee tukio la kufanyika uchaguzi upya.