SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,841
- 1,843
Mh. Msukuma yuko Star TV, anasema atapeleka mswaada bungeni utakaowalazimisha maprofesa kuwatafutia wahitimu wote wa chuo ajira pindi tu watakapomaliza chuo. Na anatafuta kuungwa mkono na wabunge wote katika huu mswaada wake
My take:
Huyu jamaa elimu yake itakuwa ndogo sana, hajui hata sheria iliyoanzisha vyuo vikuu, na majukumu ya chuo; Wizara ya ajira kazi yake nini??
Tutayasikia mengi mwaka huu
My take:
Huyu jamaa elimu yake itakuwa ndogo sana, hajui hata sheria iliyoanzisha vyuo vikuu, na majukumu ya chuo; Wizara ya ajira kazi yake nini??
Tutayasikia mengi mwaka huu
Last edited by a moderator: