SONGOKA
JF-Expert Member
- Mar 8, 2012
- 1,836
- 1,846
- Thread starter
- #61
hoja ya msukuma ni hoja mfu, sio jukumu la chuo kutafutia wahitimu ajira, ndo maana tunapata wasiwasi na elimu yake na pia uelewa wake wa masuala ya kisera na majukumu ya taasisi mbalimbali za serikaliTatizo mna prejudgment,badala ya kujadili hoja ya msukuma na kuiboresha mnaanza kuangalia yeye hajasoma na hapa unaanza kuquestion elimu yangu jadili hoja
kumbuka vyuo vimeanzishwa kwa mujibu wa sharia ambayo imeainisha majukumu ya vyuo. Nimehoji elimu yako sababu sijazoea kuona uki argue poorly kama leo. pole though kama nimekukwaza