MSUKUMA: Maprofesa wawatafutie wahitimu wote ajira

MSUKUMA: Maprofesa wawatafutie wahitimu wote ajira

hahaha amakweli 'wa2 wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa' hahaha
 
Anasema maprofesa wamesomeshwa kwa kodi za watanzania hivyo wawatafutie watu ajira
 
Hii kali ngoja kwanza nkale pilau l mwaka mpya nkishiba ntakuja comment
 
Ndugu Msukuma safi sana kwa kuona upande huu(thinking in this way alongside).Kazi yao hasa ni nini kwa jamii yao?
 
Mkuu hapo nimechoka kweli nchi yangu nimeiacha kwa vilaza hawa? Huyu ndio ana kwenda kupigania maendeleo ya Taifa hili? Hajui hata maana ya kuelimika ni kuya control mazingira yako, ajira ipo popote serikalini, sekta binafsi na non organization governments, ina sikitisha kiukweli. Wana janvi nina waomba jiandaeni kwenda ku gombea ubunge kwa wale wasio wabunge, uwa kilishi huu wakina Msukuma ni janga la Taifa. I submmit.
 
Star tv nao wakulaumiwa,unakimbilia kuwasha tv asubui asubui halafu unakuta mchambuzi ni Msukuma,huu ni use.nge
 
Star tv nao wakulaumiwa,unakimbilia kuwasha tv asubui asubui halafu unakuta mchambuzi ni Msukuma,huu ni use.nge
hatareeeee, tatitzo hii ni TV ya CCM, so it has been placed under disposal of any regional CCM chairperson
 
Hii Kali ya Mwaka.
Sasa hao maprofesa watazitafuta wapi hizo ajira?
 
Teh teh,,Huyu anadhani kila Profesa ana kampuni au kiwanda..
 
musukuma elimu ataitoa wapi wakati hatal shule ya msingi hajamaliza ameishia darasa la tatu, hata kuandika jina lake ni shida
Yani msukuma hatofautiani na mmoja huko Tunduma alishinda ubunge lkn na yeye ni DARASA LA NNE
Bunge la mwaka huu hadi raha!!! Mungu atupe uzima tuone vituko
 
Back
Top Bottom