mchajikobe
JF-Expert Member
- Aug 14, 2009
- 2,678
- 1,279
haa haa haa sasa fid aliona wapi hilo booo la babangida"Nina b.oo kubwa kama Babangida" fid q kwenye fresh
haa haa haa sasa fid aliona wapi hilo booo la babangida"Nina b.oo kubwa kama Babangida" fid q kwenye fresh
Si uyu anaesema eat africa nzima hakuna mkali wa hip hop zaid ya mwamba wa kaskazinjamaa gani tena
joh Makini size yake kina billnas naona ndo wapo level sawa..Si uyu anaesema eat africa nzima hakuna mkali wa hip hop zaid ya mwamba wa kaskazin
Daah hii nomaaUnamwita darling wife mama mamito unapata habari kuna walafi wanamla adi jicho
haishi kutema"amenyae kwa mdomo siku zote haishi tutema"
Umenifanya nitabasamuMachizi sikusoma nao, tulikutana tu mtaani,udogoni sikucheza nao lakini ndo machizi wa ukubwani
HahahaUmenifanya nitabasamu
Niko fresh.....sijui nini na nini huko tupo mwanzoni mwa wimbo wa fresjhah WW neno lolote la fid ambalo huskii,nambie nkusaidie,ambassador wake nipo
watu wameshuka Sana bars za fresh mwanzoni mwa thread..fatiliaNiko fresh.....sijui nini na nini huko tupo mwanzoni mwa wimbo wa fresj
Jolie jolie uko vizuri aisee, hongera zako.Huhu napapenda hapo....
Nikipata cash nakua fresh kama cucumber,nikiwa na dash nakua mjeshi bila full ngwamba,kwenda resi sioni kesi Mr Ku-banda,yakijiset.. sikwepeshi naweka juu chanda.. Niko fresh kula fresh ile fresh ya shamba fresh maujanja..Wawesh ile fresh inabamba,fresh kinanda..haukeshi kama hauko fresh umesanda....huhhuuuuuu
Nikikosea mnirekebishe nikatambie mtaani
Shukrani mkuuJolie jolie uko vizuri aisee, hongera zako.
Nataman pangekua na voice notewatu wameshuka Sana bars za fresh mwanzoni mwa thread..fatilia